Ukitaka kumuweza mwanamke, mheshimu na kumthamini

Ukitaka kumuweza mwanamke, mheshimu na kumthamini

Mwanamke ni binadamu kama ulivyo wewe mwanaume Mwenzangu

Kwa ufupi tu ni kwamba katika kipindi cha ndoa yangu yenye uhai wa takribani miaka kumi na moja sasa nilicho jifunza katika mahusiano Haya ukitaka Kumuweza Mwanamke. Usitumie nguvu kubwa sana katika kumuongoza Mwanamke kwa maana ya kuwa mkali kupita kiasi hapo wanaume wenzangu Mwanamke hautamuweza

Mwanamke anahitaji kupendwa au kuthaminiwa, Mwanamke anahitaji kukumbushwa kila mara kwa heshima no matter how many times umezungumza nae Mwanamke anahitaji kupewa tahadhali ya mambo kadha wa kadha, ukienda tofauti na hapo ndio mwanzo wa kufarakana.
Naunga mkono hoja hata kama huna ela
 
Back
Top Bottom