Ukitaka kumuweza mwanamke, mheshimu na kumthamini

Ukitaka kumuweza mwanamke, mheshimu na kumthamini

Mwanamke ni binadamu kama ulivyo wewe mwanaume Mwenzangu kwa ufupi tu ni kwamba katika kipindi cha ndoa yangu yenye uhai wa takribani miaka kumi na moja sasa nilicho jifunza katika mahusiano Haya ukitaka Kumuweza Mwanamke, Usitumie nguvu kubwa sana katika kumuongoza Mwanamke kwa maana ya kuwa mkali kupita kiasi hapo wanaume wenzangu Mwanamke hautamuweza, Mwanamke anahitaji kupendwa au kuthaminiwa, Mwanamke anahitaji kukumbushwa kila mala kwa heshima no matter how many times umezungumza nae Mwanamke anahitaji kupewa tahadhali ya mambo kadha wa kadha, ukienda tofauti na hapo ndo mwanzo wa kufarakana.
hawa viumbe ni kuishi nao tu kwa akili bas wala haihitaji semina elekezi
 
Mwanamke ni binadamu kama ulivyo wewe mwanaume Mwenzangu kwa ufupi tu ni kwamba katika kipindi cha ndoa yangu yenye uhai wa takribani miaka kumi na moja sasa nilicho jifunza katika mahusiano Haya ukitaka Kumuweza Mwanamke, Usitumie nguvu kubwa sana katika kumuongoza Mwanamke kwa maana ya kuwa mkali kupita kiasi hapo wanaume wenzangu Mwanamke hautamuweza, Mwanamke anahitaji kupendwa au kuthaminiwa, Mwanamke anahitaji kukumbushwa kila mala kwa heshima no matter how many times umezungumza nae Mwanamke anahitaji kupewa tahadhali ya mambo kadha wa kadha, ukienda tofauti na hapo ndo mwanzo wa kufarakana.
"Uko Sawa kabisa mkuu nakuunga mkono
Ila umesahau jambo moja la muhimu sana pia, ili mwanamke atulie na kukupenda hakikisha unampiga "bakora heavily !! ,hakikisha hadi analia na kukamaa Kama anataka kufa, hadi aseme inatosha, aseme Amekoma.
La sivyo hatokueshimu na atachepuka tu
Nawasilisha.

By-Mimi mwendawazimu!
 
Nakubaliana na ww mtoa mada lkn hilo sio la kulichukulia 100%

Wanawake ni watu wazuri sana, wapole na wanyenyekevu ila pia mm nahisi kwenye ubongo wao kuna sehemu huwa inawafanya wawe na akili/mawazo ya ajabu...

Ukiwa mpole sana hawataki...ukiwa mkali sana pia hawataki kwahyo chief jifunze kuwa mtu usieleweka kwa 100%...

hahaha akili za wanawake huwa zinanifurahisha sana sometimes...ona huu mfano hapa!
[emoji23][emoji28][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
056_understanding_guy_blog-5a3176d6c77ab__700.jpg
 
Back
Top Bottom