Ukitaka kummaliza mmeo, kuwa malaya

Ukitaka kummaliza mmeo, kuwa malaya

Tupe maana yako
Mimi ni nani et niwe na maana yangu??

Wewe unaonesha limbukweni kweli. Tangu lini mwanamke kuvaa nguo fupi ndyo umalya, au kuongea kimahba ndyo umlya??? Acha ushamba wewe
 
Hapo kwenye wowowo ndio tatzo
aaahhgh hapo mimi nope huwaga nashindwa kuwa muaminifu" yaani hata kama akiwa ni shemeji yangu nitafanya hila mpaka nitoke ngoma droo na muhusika mkuu
 
Avae pajama laini akiwa na mswambwanda na hips ni balaa,kitop tumbo flat kisha natural color chatara mng'avu ng'avu maji ya kunde kaenda hwani sekunde.
duuuuhh halafu sasa " room iwe na mwanga hafifu wa rangi rangi" Kiruuuuuu"" shimboni shishafoo
 
Hivi inakuaje mwanaume mwenye kengere 2 kabisa anapenda demu mwembamba
 
Haya mambo haya yaacheni tu. Mwenzenu yalinikuta nilipomwambia mchepuko wangu napenda mapenzi ya kimalaya malaya. Akaniuliza utaweza? Nikamjibu ntaweza si ni mimi niliyekuomba. Basi wakati mgegedo umeshika kasi nikasikia mwenzangu kwa kisauti cha kubana ananiambia unajua kuto.. Anaishia hapo kisha anarudia tena unajua kuto...anaishia hapo hamalizii nikaongeza juhudi Nilipoongeza nikasikia anasema nifi.. Anaishia hapo.. Anarudia tena nifi.. Ohoo nikauliza unasemaje wewe. Na yeye akaniambia tena huku amebana pua we si umeniambia unapenda mapenzi ya kimalayaa. Jasho lilinitoka. Shauri yenu muwe mnaangalia na wa kuambia maneno hayo wengine hawabipiwi..
hahaaaa " wewe sio mamba aiseee"" sasa ulichemka nini ""??
 
Nimecheka mpaka mwanangu kshtuka analia ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom