St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
Hahahahaa
Kooonyooo
Kooonyooo
Yaani kama ulikuwepo. Mi mambo ya pwani ntajulia wapi na mi Msukuma kwetu Maswa...Msukuma kama nakuona ulivyotoa macho moyoni unasema hiki nini nimebeba leo. Hahahaaa
Non believer[emoji23] [emoji23]Kooonyooo
Pole mwaya.Yaani kama ulikuwepo. Mi mambo ya pwani ntajulia wapi na mi Msukuma kwetu Maswa...
mamodo wengine wana misambwandaSana tu ila wengine tunapenda mamodo
kama umesoma ulaya wewe ni exceptions, idadi yenu sio kubwa, nyie ni negligibleHizo sifa nyingi ulizozitaja hapo mi czipendi na wala huwa sihangaiki nazo kwa msichana mi ugonjwa wangu ni vi mount meru tu pale juu visimame vizuri sio viwe vimelala kama ndala za bata zilizochoka
Namimi nilifikiri kama wewe mkuuHeading ilivyo ni Kama inaelezea Kama Mwanamke akitaka Kummaliza Mume wake yaani Kumuumiza Basi awe Malayaa yaani agawe gawe..
Ahahah negligible ukimaanisha ≈ 0 (we are approaching to zero.?)kama umesoma ulaya wewe ni exceptions, idadi yenu sio kubwa, nyie ni negligible
Wanaume wenzangu mnisamehe bure
Leo natoa siri ya upande wa kiumeni ambayo wanaume wengi huwa hatuwaambii wake zetu, ila tukiwa vijiweni, hii ndo topic wanaume wote huwa tunakubaliana.
Iko hivi , kila mwanaume anatamani sana mpenzi wake amfanyie mambo ya kihuni na u malaya ila aendelee kuwa mwaminifu kwa mpenzi wake.
Demu anaejua kucheza mziki kwa kukata mauno, Hakuna mwanaume asiyevutiwa nae
Demu anaejua kukonyeza na kuongea maneno yanayonyegesha huwavutia wanaume wote
Demu anayejua kuvaa mavazi ya kikahaba chumbani, tight, top, bikini, kuboost nyonyo, min skirt etc..... Hupendwa sana na wanaume wote.
Above all, hata Asipokuambia mmeo, wanaume wote wanapenda chura, aka. Wowowoo, kishudu, kichuguu, msambwada...... Mbumbuli
Guys come up and prove me wrong....
Tena tatizo kubwaHapo kwenye wowowo ndio tatzo
Ni hakika na kweli...mengine mapitoMimi kwangu napenda mwanamke anayemjua Mungu na mwenye hofu ya Mungu . Huyo atakuwa msaada mkubwa sana kwangu ili kujenga familia bora
The art of creating attentionHeading ilivyo ni Kama inaelezea Kama Mwanamke akitaka Kummaliza Mume wake yaani Kumuumiza Basi awe Malayaa yaani agawe gawe..