IGP, Polisi/mgambo/magazeti ya udaku wamepageuza Coco Beach kuwa ni pango la wanyanganyi

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
IGP sijui kama unajua hii ila kama hujui ni kuwa unapewa wrong iformation kutoka kwa watu wako wa chini ni hizikume zuka mtindo wa kuvamiwa COCo beach nyakati za usiku na maeneo mengine na police huku wakiwa na mgambo na malori, than wana wakamata na kuwapiga picha huku wengine wakivuliwa nguo kinguvu,ili waonekane ni malaya wakati sio.

Hii tabia imeonekana kushamiri sana maeneo ya coco beach na maeneo mengine ya jiji wanawakamata watu, wanawadhalilisha na yet wanaambiwa kuwa ni malaya yaani mtu uko na mpenzi wako unaambiwa uko na changudoa na wewe uliye na mtu wako unajumlishwa kwenye kesi unless utoe kitu kidogo la sivyo unaunganishwa na wewe kwenye kesi, mie hii kitu nilikuwa siiamini na waliokuwa wanakamatwa nilikuwa nawaona ni machangudoa tu until kuna tukio liliotokea last week kuna kitu kika ring kichwani mwangu kwamba there is something wrong kinachoendelea kati ya polisi, mgambo na watu wenye magazeti ya udaku.

Kuna jamaa yangu alikamatwa na mpenzi wake maeneo ya coco beach akaambiwa yuko na changudoa mgambo, polisi wakiwa na malori wakamtia nguvuni kwa nguvu jamaa ikabidi awatoe kwa pesa ndio wakamuachia ila kama huna pesa ndugu zangu kesho yake utajikuta kwenye gazeti ya ijumaa kwa heading hii "KIGOGO MME WA MTU AFUMWA NA CHANGUDOA" na mwanamke wanaondoka nae kumpeleka polisi eti yeye ni changudoa hawafiki polisi njiani polisi wale / mgambo / wanamuomba penzi yule mwanamke akikubali wanamfanya wanachofanya na kumuachia akikataa imekula kwake anapelekwa polisi kesho yake mahakani kwa kesi hata sijui ya uchangudoa/ uzururaji am not good kwenye mambo ya sheria ila hayo yanafanywa kwa lengo la kumkomoa.

Hii imeanza kidogo kidogo lakini watavuka mipaka na kuanza kuingia na kuvunja nyumba za watu kwa kigezo kuwa wanatafuta machangudoa kwani sasa hivi wamefika mbali kabisa kwa kuwatoa watu kwenye magari yao na kuanza kuwaambia wako na machangudoa wakiwa na wapiga picha wa magazeti ya bei rahisi ambao wao kazi yao ni kufotoa picha huku polisi wanaku harasi kama una hela unawapa waandishi wanafuta picha zako kwa camera zao kama huna jiandae kujiona kwenye magazeti ya udaku kesho yake pia wanaondoka na mwanamke kumpeleka polisi eti wanaenda kumfungulia kesi yeye ni changudoa.

Mods naomba msiifute hii thread naomba kuuliza je hii ni haki take yourself una mpenzi wako, mke wako, au hata mtoto wako wa kike au una mume wako au hata mtoto wako wa kiume umekaa sehemu then polisi, mgambo, waandishi wanakuja wanakwambia wewe ni changudoa au uko na changudoa wakati unajua sio na wakati wanakufanya hivyo waandishi wa magazeti ya udaku wako busy kukupiga picha then wanazitunza kwa camera yao hapo umeshachezea makofi sana utajisikiaje uta react vipi? na kuondoka na mkeo, mpenzi wako kumpeleka mahakamani eti kisa ni changudoa kwa lengo la kukukomoa anyway mie nawasubiri niko na mama yoyo halafu waniletee huo ushenzi wao huo mtiti wake sijui hata jinsi ya kuelezea.

Leo wametoa habari nyingine kuhusiana na hii inshu ninayoongelea sikatai kuwa hapo hakuna machangudoa ila wengine sio Stori: Issa Mnally
NI aibu sana! Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Oparesheni ya Fichua Maovu iliyosimamiwa na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar, OCD Wilbroad Mutafungwa na Ofisa wa Oparesheni, Inspekta Jacob Swai kwa kushirikiana na Global Publishers iliyonasa wanawake wanaojishughulisha na mambo ya ngono usiku kucha. Katika oparesheni hiyo iliyofanyika usiku wa Jumapili iliyopita watu kibao walinaswa hasa katika Ufukwe wa Coco, jijini Dar akiwemo bibi harusi mmoja na mtoto wa kigogo (jina linahifadhiwa).

BIBI HARUSI LAIVU KWENYE BAJAJ Kwenye ufukwe huo, mwanamke mmoja ambaye jina halikupatikana, aliyedaiwa kufunga ndoa Ijumaa iliyopita, naye alikamatwa katika msako baada ya kunaswa na mwanaume wakifanya ngono kwenye Bajaj.Katika tukio hilo, mwanaume alifanikiwa kutoka nduki huku akimwacha demu wake akijikusanya kwa kuvaa nguo.Mwanamke huyo naye alifanikiwa kuwatoka askari hao na kukimbilia chooni ambapo aliwakuta wanawake wengine waliojificha hivyo wakakamatwa wote kwa pamoja.Ili kuweka ushahidi, askari hao wa kazi waliikamata Bajaj hiyo.

ALIKWENDA KUKUMBUSHIA ENZI ZAKEK wa mujibu wa mwanamke huyo, mkazi wa Kinondoni-Manyanya, usiku huo alifika mahali hapo kukumbushia enzi zake kabla ya kuolewa ambapo ilidaiwa kwamba alikuwa akijiuza ufukweni hapo. Alijitetea kuwa mume wake alisafiri hivyo akaona akakumbushie enzi zake kabla hata ‘hina' aliyopakwa wakati wa harusi haijafutika mwilini.Pamoja na maelezo hayo, mwanamke huyo aliishia kwenye ‘difenda' la polisi tayari kwa kupelekwa kituoni kwa maelezo zaidi.

BINTI WA KIGOGO Katika kundi hilo la wanawake na wanaume zaidi ya hamsini waliokamatwa ufukweni hapo usiku huo wa saa 9 na ushee, kulikuwa na mtoto wa kigogo mmoja serikalini katika idara nyeti ambaye alinaswa mchangani baharini akiwa kwenye kundi la makahaba. Mtoto huyo aligundulika kuwa ni binti wa mnene wakati wa kutoa maelezo kituoni Oysterbay.

MASIKINI ALIKUWA NA ‘BOIFRENDI' WAKE Akijitetea wakati wa kutoa maelezo, binti huyo aliyeonekana mrembo na mwenye mvuto wa ajabu, alisema kwamba alikuwa na ‘boifrendi' wake na kuwa alitoroka kwao usiku huo. Binti huyo aliomba chondechonde asipigwe picha kwani endapo itaonekana gazetini basi atakuwa amejipalia makaa nyumbani kwa vile hataeleweka kwa sababu anapatiwa fedha za matumizi pamoja na ada ya shule.Ukiacha mwanamke na binti huyo wa kigogo, wanawake wengine wengi walikamatwa, wengi wao walikutwa wakifanya vitendo vya ngono mchangani wakiwa ‘pea'.

MACHANGU WAFUNGUKA Kati ya wote waliokamatwa, wanawake kumi na tano walikiri kujishughulisha na biashara ya kuuza miili ambapo walisema wanafanya hivyo kutokana na ugumu wa maisha. ACD MUTAFUNGWA ANASEMAJE? Kwa upande wake OCD Mutafungwa alisema wameamua kuyafanyia kazi malalamiko ya wananchi kwa kuvamia eneo hilo.
INSPEKTA SWAI ATIA NENO Naye Inspekta Swai aliyekuwa ‘front' katika zoezi hilo alisema kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu kila wiki ili kukomesha vitendo viovu katika ufukwe huo.

NI MATOKEO YA GAZETI LA RISASI Oparesheni hiyo ilikuja siku chache baada ya gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko, toleo namba 1000 la Jumatano ya Aprili 17-19 kuripoti ufuska unaofanyika katika ufukwe huo usiku wa saa 9 na kuendelea. Uchunguzi wa gazeti hilo ulieleza kiundani vitendo vya ngono, usagaji, ubakaji, ushoga na ujambazi vilivyokuwa vikifanyika eneo hilo hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni wakaona kuna kila sababu ya kufumua uozo huo kwa kuwa ni wachapakazi
 
IGP sijui kama unajua hii ila kama hujui ni kuwa unapewa wrong iformation kutoka kwa watu wako wa chini ni hizikume zuka mtindo wa kuvamiwa COCo beach nyakati za usiku na maeneo mengine na police huku wakiwa na mgambo na malori, than wana wakamata na kuwapiga picha huku wengine wakivuliwa nguo kinguvu,ili waonekane ni malaya wakati sio.

Hii tabia imeonekana kushamiri sana maeneo ya coco beach na maeneo mengine ya jiji wanawakamata watu, wanawadhalilisha na yet wanaambiwa kuwa ni malaya yaani mtu uko na mpenzi wako unaambiwa uko na changudoa na wewe uliye na mtu wako unajumlishwa kwenye kesi unless utoe kitu kidogo la sivyo unaunganishwa na wewe kwenye kesi, mie hii kitu nilikuwa siiamini na waliokuwa wanakamatwa nilikuwa nawaona ni machangudoa tu until kuna tukio liliotokea last week kuna kitu kika ring kichwani mwangu kwamba there is something wrong kinachoendelea kati ya polisi, mgambo na watu wenye magazeti ya udaku.

Kuna jamaa yangu alikamatwa na mpenzi wake maeneo ya coco beach akaambiwa yuko na changudoa mgambo, polisi wakiwa na malori wakamtia nguvuni kwa nguvu jamaa ikabidi awatoe kwa pesa ndio wakamuachia ila kama huna pesa ndugu zangu kesho yake utajikuta kwenye gazeti ya ijumaa kwa heading hii "KIGOGO MME WA MTU AFUMWA NA CHANGUDOA" na mwanamke wanaondoka nae kumpeleka polisi eti yeye ni changudoa hawafiki polisi njiani polisi wale / mgambo / wanamuomba penzi yule mwanamke akikubali wanamfanya wanachofanya na kumuachia akikataa imekula kwake anapelekwa polisi kesho yake mahakani kwa kesi hata sijui ya uchangudoa/ uzururaji am not good kwenye mambo ya sheria ila hayo yanafanywa kwa lengo la kumkomoa.

Hii imeanza kidogo kidogo lakini watavuka mipaka na kuanza kuingia na kuvunja nyumba za watu kwa kigezo kuwa wanatafuta machangudoa kwani sasa hivi wamefika mbali kabisa kwa kuwatoa watu kwenye magari yao na kuanza kuwaambia wako na machangudoa wakiwa na wapiga picha wa magazeti ya bei rahisi ambao wao kazi yao ni kufotoa picha huku polisi wanaku harasi kama una hela unawapa waandishi wanafuta picha zako kwa camera zao kama huna jiandae kujiona kwenye magazeti ya udaku kesho yake pia wanaondoka na mwanamke kumpeleka polisi eti wanaenda kumfungulia kesi yeye ni changudoa.

Mods naomba msiifute hii thread naomba kuuliza je hii ni haki take yourself una mpenzi wako, mke wako, au hata mtoto wako wa kike au una mume wako au hata mtoto wako wa kiume umekaa sehemu then polisi, mgambo, waandishi wanakuja wanakwambia wewe ni changudoa au uko na changudoa wakati unajua sio na wakati wanakufanya hivyo waandishi wa magazeti ya udaku wako busy kukupiga picha then wanazitunza kwa camera yao hapo umeshachezea makofi sana utajisikiaje uta react vipi? na kuondoka na mkeo, mpenzi wako kumpeleka mahakamani eti kisa ni changudoa kwa lengo la kukukomoa anyway mie nawasubiri niko na mama yoyo halafu waniletee huo ushenzi wao huo mtiti wake sijui hata jinsi ya kuelezea
 
Duh, mkuu weka space in between paragraphs and sentences. Ngumu sana kuisoma.
 
mkuu nimeweka space na paragraph lakini nikipost inatokea hivyo na ni siku ya pili now mods naomba wanisaidie wakiona uzi huu
 
Ndio tz yetu mkuu ........ unashangaa nini na huku kila mtu ana njaa?

Nakumbuka juzi kati wajerumani mtu na mpenzi wake walifanya mapenzi uwanjani wakati mpira wa miguu unachezwa, walifanya kipindi cha kwanza na kipindi cha pili .... lakini no body aliejali .... watu waliendelea kutazama burudani ya soka!!!!
 
Contradictory story,acha law and order iwe maintained.Watu wanadhani hakuna utawala nchi hii,wameachiwa kufanya watakavyo kwa kuwa hakuna uwajibikaji.
 
Ndio tz yetu mkuu ........ unashangaa nini na huku kila mtu ana njaa?Nakumbuka juzi kati wajerumani mtu na mpenzi wake walifanya mapenzi uwanjani wakati mpira wa miguu unachezwa, walifanya kipindi cha kwanza na kipindi cha pili .... lakini no body aliejali .... watu waliendelea kutazama burudani ya soka!!!!
duh.. hao sasa wametisha
 
Contradictory story,acha law and order iwe maintained.Watu wanadhani hakuna utawala nchi hii,wameachiwa kufanya watakavyo kwa kuwa hakuna uwajibikaji.
mkuu yaani kuwadhalilisha watanzania ndio law and order kuwa maintained?
 
kuna mambo ya msingi yakufuatilia ndio maana hii nchi haiendelea kwani hakuna personal freedom...
 
IGP sijui kama unajua hii ila kama hujui ni kuwa unapewa wrong iformation kutoka kwa watu wako wa chini ni hizikume zuka mtindo wa kuvamiwa COCo beach nyakati za usiku na maeneo mengine na police huku wakiwa na mgambo na malori, than wana wakamata na kuwapiga picha huku wengine wakivuliwa nguo kinguvu,ili waonekane ni malaya wakati sio.

Hii tabia imeonekana kushamiri sana maeneo ya coco beach na maeneo mengine ya jiji wanawakamata watu, wanawadhalilisha na yet wanaambiwa kuwa ni malaya yaani mtu uko na mpenzi wako unaambiwa uko na changudoa na wewe uliye na mtu wako unajumlishwa kwenye kesi unless utoe kitu kidogo la sivyo unaunganishwa na wewe kwenye kesi, mie hii kitu nilikuwa siiamini na waliokuwa wanakamatwa nilikuwa nawaona ni machangudoa tu until kuna tukio liliotokea last week kuna kitu kika ring kichwani mwangu kwamba there is something wrong kinachoendelea kati ya polisi, mgambo na watu wenye magazeti ya udaku.

Kuna jamaa yangu alikamatwa na mpenzi wake maeneo ya coco beach akaambiwa yuko na changudoa mgambo, polisi wakiwa na malori wakamtia nguvuni kwa nguvu jamaa ikabidi awatoe kwa pesa ndio wakamuachia ila kama huna pesa ndugu zangu kesho yake utajikuta kwenye gazeti ya ijumaa kwa heading hii "KIGOGO MME WA MTU AFUMWA NA CHANGUDOA" na mwanamke wanaondoka nae kumpeleka polisi eti yeye ni changudoa hawafiki polisi njiani polisi wale / mgambo / wanamuomba penzi yule mwanamke akikubali wanamfanya wanachofanya na kumuachia akikataa imekula kwake anapelekwa polisi kesho yake mahakani kwa kesi hata sijui ya uchangudoa/ uzururaji am not good kwenye mambo ya sheria ila hayo yanafanywa kwa lengo la kumkomoa.

Hii imeanza kidogo kidogo lakini watavuka mipaka na kuanza kuingia na kuvunja nyumba za watu kwa kigezo kuwa wanatafuta machangudoa kwani sasa hivi wamefika mbali kabisa kwa kuwatoa watu kwenye magari yao na kuanza kuwaambia wako na machangudoa wakiwa na wapiga picha wa magazeti ya bei rahisi ambao wao kazi yao ni kufotoa picha huku polisi wanaku harasi kama una hela unawapa waandishi wanafuta picha zako kwa camera zao kama huna jiandae kujiona kwenye magazeti ya udaku kesho yake pia wanaondoka na mwanamke kumpeleka polisi eti wanaenda kumfungulia kesi yeye ni changudoa.

Mods naomba msiifute hii thread naomba kuuliza je hii ni haki take yourself una mpenzi wako, mke wako, au hata mtoto wako wa kike au una mume wako au hata mtoto wako wa kiume umekaa sehemu then polisi, mgambo, waandishi wanakuja wanakwambia wewe ni changudoa au uko na changudoa wakati unajua sio na wakati wanakufanya hivyo waandishi wa magazeti ya udaku wako busy kukupiga picha then wanazitunza kwa camera yao hapo umeshachezea makofi sana utajisikiaje uta react vipi? na kuondoka na mkeo, mpenzi wako kumpeleka mahakamani eti kisa ni changudoa kwa lengo la kukukomoa anyway mie nawasubiri niko na mama yoyo halafu waniletee huo ushenzi wao huo mtiti wake sijui hata jinsi ya kuelezea

Habari hii inaonekana ina mantiki, taabu yake ilivypangwa, kuisoma unatakiwa uwe kama mkimbia marathon! Hapa nipo nahema baada ya KUFANIKIWA kuisoma mwanzo hadi mwisho!

Weka vituo, na acha nafasi kiasi mkuu!
 
Back
Top Bottom