mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,480
- Thread starter
-
- #81
Kumbuka hapo ukija kupatwa na lolote wazazi wako lazima watakulaumu..
Naona hawapo upande wako maana wao wanaamini kanisa lao..
Kama umeamua kwa moyo wako olewa mamaYeah naelewa but sitaki kuendelea na zinaa naona mtu yupo tayari na Mimi najisikia wito wa ndoa ni bora niende tu
Wasisahau na afya ya akili.Ila kikubwa mkapime yale magonjwa muhimu.
Doh!!Kasema Kigoma
Chomoka nenda kwa Nabii unayeona kuwa ni Nabii wa kweli...
Nenda utajua Kila jambo...
Ndoa sio sherehe ni mkataba...
Sikutishi Mamy
Muombe Mungu tu atakuonyesha haya ya kuchunguzana litakukuta jamboNipeni mbinu ukitaka kumchunguza mwanaume anaetaka kukuoa unamchunguza vipi yaani kwa namna gani?
Nauliza hivyo kwasababu tumekutana ukubwani kila mtu anaishi mkoa wake hatuna background yoyote hatujuani yaani
Sasa inatokea tunaishi mbalimbali inakuwa ngumu mimi kumjua au kuwafahamu ndugu zake…
Yaani sina pa kumuulizia kuhusu tabia yake ni mtu wa aina gani ukoo wake ni vipi… nachojua ni yeye tu anachoniambia vingine sivijui
Nipeni mbinu jamani nisije kudandia mtumbwi wa vibwengo
kama uko naye kwa zaidi ya miaka 2 na hujawahi ona tatizo endelea naye tu.1.Sijui Kama anazo
2.Ndioo
Usikurupuke kwa kigezo cha kuolewa nenda naye taratibu.
Kama umeamua kwa moyo wako olewa mama
Wasisahau na afya ya akili.
Muombe Mungu tu atakuonyesha haya ya kuchunguzana litakukuta jambo
kama uko naye kwa zaidi ya miaka 2 na hujawahi ona tatizo endelea naye tu.
Wasisahau na afya ya akili.
Hata yeye mwenyewe kama ana imani / macho ya rohoni kuna vitu ataviona au kuoneshwa/ oteshwa!Chomoka nenda kwa Nabii unayeona kuwa ni Nabii wa kweli...
Nenda utajua Kila jambo...
Ndoa sio sherehe ni mkataba...
Sikutishi Mamy
Imani yake tu, ila wamekaa miaka 2 mpaka sasa hajaona?Hata yeye mwenyewe kama ana imani fulani kuna vitu ataviona au kuoneshwa/ oteshwa!
Yeah Ndiomana nimesema kama ana imani au macho ya rohoni atajua mapema sanaImani yake tu, ila wamekaa miaka 2 mpaka sasa hajaona?
Sio kila mtu ana macho ya Rohoni...
Ukimchunguza sana bata, hutaweza kumla. Achana kabisa na hizo mambo. Wewe angalia kama mtaweza kuishi maisha marefu, mkubalie tu.Nipeni mbinu ukitaka kumchunguza mwanaume anaetaka kukuoa unamchunguza vipi yaani kwa namna gani?
Nauliza hivyo kwasababu tumekutana ukubwani kila mtu anaishi mkoa wake hatuna background yoyote hatujuani yaani
Sasa inatokea tunaishi mbalimbali inakuwa ngumu mimi kumjua au kuwafahamu ndugu zake…
Yaani sina pa kumuulizia kuhusu tabia yake ni mtu wa aina gani ukoo wake ni vipi… nachojua ni yeye tu anachoniambia vingine sivijui
Nipeni mbinu jamani nisije kudandia mtumbwi wa vibwengo
Nabii gani wa kweli au ndio kina Masanja hawa?Chomoka nenda kwa Nabii unayeona kuwa ni Nabii wa kweli...
Nenda utajua Kila jambo...
Ndoa sio sherehe ni mkataba...
Sikutishi Mamy
Umchunguze ili iweje?Nipeni mbinu ukitaka kumchunguza mwanaume anaetaka kukuoa unamchunguza vipi yaani kwa namna gani?
Nauliza hivyo kwasababu tumekutana ukubwani kila mtu anaishi mkoa wake hatuna background yoyote hatujuani yaani
Sasa inatokea tunaishi mbalimbali inakuwa ngumu mimi kumjua au kuwafahamu ndugu zake…
Yaani sina pa kumuulizia kuhusu tabia yake ni mtu wa aina gani ukoo wake ni vipi… nachojua ni yeye tu anachoniambia vingine sivijui
Nipeni mbinu jamani nisije kudandia mtumbwi wa vibwengo
Nabii huwezi muona au kumjua kwa macho yako ya nyama...Nabii gani wa kweli au ndio kina Masanja hawa?View attachment 2813420