Uchawi ndio funga kazi, maana ni agano la kiazazi na kiazazi...Achaa tu! Kuna familia nyingine ni Hatari sana! Hili ni gumu sana kujua pale mwanzo kama mtu hajakwbia mwenyewe!
Mwingine anahofia kukupoteza hakwambii anamute tu mabalaa unakutana nayo badae sana![emoji119][emoji119][emoji119]!
Kaa mbali na familia yenye washirikina asee ni hatari sana!
Mambo yangu niachie mwenyewe...Ndio comments zako
Hivi huwa ni mvivu ku type ama yaani sijawah ona una type zaidii ya hayo maneno
Kabisa mama mchungaji!!Uchawi ndio funga kazi, maana ni agano la kiazazi na kiazazi...
Mikosi, kafara, magonjwa...
Uchawi ni balaa
1. yeye ana abcd zako?
2. huyu ndiyo yule asiyetakiwa na kaka yako?
Kuna vitu atavijua wakishakuwa kwenye mahusiano ya kawaida ya walau mwaka mmoja.Hapana babu kuna vitu ni lazima uvijue mapema!
Unasali wapi huko kwenye masharti kama ya waganga [emoji1787][emoji1787]
Hao wanamasheria makali...Assemblies dear hapa kwanza napewa nyundo home unatamani hata kukimbia
Achaa tu! Kuna familia nyingine ni Hatari sana! Hili ni gumu sana kujua pale mwanzo kama mtu hajakwbia mwenyewe!
Mwingine anahofia kukupoteza hakwambii anamute tu mabalaa unakutana nayo badae sana![emoji119][emoji119][emoji119]!
Kaa mbali na familia yenye washirikina asee ni hatari sana!
Mda wa uchumba ukiwa mrefu mtafahamiana na kujuana vizuri. Kipimo cha afya nacho ni muhimu.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Kweli Kabisa babu!!Kuna vitu atavijua wakishakuwa kwenye mahusiano ya kawaida ya walau mwaka mmoja.
Ingawa changamoto iliyopo ni hiyo ya Umbali.
Kuna mtu mkiwa mbali mbali inakuwa vigumu kuweza kumjua as mnakutana mara chache.
Aombe namba za ndugu wa Mwanaume iwe Dada/Kaka/ Mjomba/Bibi yaani yeyote ili awe anamchota taratibu kumjua huyo mume wake mtarajiwa.
Uchawi ndio funga kazi, maana ni agano la kiazazi na kiazazi...
Mikosi, kafara, magonjwa...
Uchawi ni balaa
Chomoka nenda kwa Nabii unayeona kuwa ni Nabii wa kweli...Mama pia kaniuliza hilo jambo sina jibu nitajuaje sasa kama sio ama ni mshirikina
Na kumuuliza huwezi ukitaka kumuuliza unaanzaje??? 🤠🤠!! Au kisaikolojia utafute namna ya kumuuliza indirectly!Mama pia kaniuliza hilo jambo sina jibu nitajuaje sasa kama sio ama ni mshirikina
Uko sahihi,kuna familia ukiolewa utajuta
Nakushauri kama kwa hiyo miaka 2 bado hujafanikiwa kumjua endelea tu kudate nae kwanza ugundue vitu vile vya msingi kuhusu huyo jamaa na familia yake
Ujitahidi ufike kwao nna uhakika utaelewa aina ya familia aliyonayo!
Kuishi na mtu sio ishu ndogo japo hakuna malaika ila afadhali kuna ambao unaweza kuishi na madhaifu yao!
Ni wapi huko?? Kigoma??? Sumbawanga au?Mmh na watu wa mkoa ule wanasifika
Kasema KigomaNi wapi huko?? Kigoma??? Sumbawanga au?
Na kumuuliza huwezi ukitaka kumuuliza unaanzaje??? [emoji1783][emoji1783]!! Au kisaikolojia utafute namna ya kumuuliza indirect !