Ukitaka kula, kubali uliwe kidogo.

Ukitaka kula, kubali uliwe kidogo.

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
Boflo, wasemaje kuhusu hili? Muungwana alikuwa sawa au laaaaahhh.....

Boflooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!!! Hawa watakuwa paka wa member gani hapa JF? Kwa mbali naona jibu MBUZI MZEE.

attachment.php


Ukitaka kula.....jpgMtepesho.jpg
 
aaan aim ni huyo jamaa na kata 'K' Tayari kwa kuliwa naye?:target:
 
Duu, hawa paka wa Mamlazendo basi watakuwa kiboko, yaani wanafanyia nje nje kabisa? Si nilishasikia kuwa huwa wanajificha ili Binadamu wasiige style zao kama walivyoiga ya Mbwa? Dog Style sijui wanaita?
Hao paka wa Mamzalendo hao
 
Huyo aliyepiga picha anaonekana amehamisha mawazo/hisia za paka
 
attachment.php

... this is some funny shiiiii, or may be am just too thick-skinned to racial slurs! Hilarious!
 
... this is some funny shiiiii, or may be am just too thick-skinned to racial slurs! Hilarious!
Tuache kujidharau. Toka lini racist commentary zikawa funny, watu wengine exposure mlizopata hata hazijasaidia kuwafungua macho.
 
Tuache kujidharau. Toka lini racist commentary zikawa funny, watu wengine exposure mlizopata hata hazijasaidia kuwafungua macho.

... exposure zipi hizo za kufikirika kichwani mwako na kuzi-project kwa wengine unazotaka kulinganisha hapa?!
... acha nibakie na upofu wangu, but I still find it funny!!
 
Inasemekana ni Mbuzi Mzee au Bujibuji maana ndiyo watu wa mapichapicha kwa wingi sana hapa JF.

Ngoja waje watalaamu hapa wajadili zaidi kama kuna mtu ilimtokea hii....
Huyo aliyepiga picha anaonekana amehamisha mawazo/hisia za paka
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuu!!!!!! paka alivyotoa macho anaona anabaniwa kwenye dili lake
 
Back
Top Bottom