The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Asante,naisubiri kwa hamu
inakuja....
Asante,naisubiri kwa hamu
Hahahahah,wanagombea avatar,mimi huo muda sina kabisa!Kama you look like Gabriella basi uko juu itabidi nithibitishe lol ila cha ajabu zaidi hapa JF ni kuwa like two or three years ago kulikuwa na two women wanatumia tena avatar ya Gabriella Union na ugomvi ulifika hadi kwa mods ..wakigombea mmoja tu aruhusiwe.....sikumbuki mods waliamua nini...but imenishangaza sana why JF women mnampenda sana Gabriella Union....ajabu... cc Victoire ...