The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
Amenijibu,na mimi nakupenda mke wangu kuliko kitu chochote hapa duniani
I love the way you lie...
Amenijibu,na mimi nakupenda mke wangu kuliko kitu chochote hapa duniani
Mi amenijibu.." Najua"
Hili litakuwa penzi jipya
habar zenu,
kwa wadada walio kwenye ndoa,ukitaka kujua penzi lako si kitu tena kwa mwenzi wako,muandikie ujumbe huu sasa hivi bila kujali upo wap/yupo wp na anafanya nini,muandikie hivi then mtext
"Ninakupenda mume wangu"
atakachokujibu utaniambia.
usitunganye mkuu
toa nafasi ya upendeleo basi dada angu wanaume tupo
for the tragedy i had aisee sihitaji stress at the moment.. am good thia way
Sitaki kuharibu siku yangu kabisaaa maana nitakachojibiwa mhhhh?????
Hahaaa!unaweza andika ukashangaa unambiwa,nakuja unieleze hii meseji ulikua unamtumia nani,kesi tayari akhaaa!