kwa ambao hatuna waume????
Umejuaje? Ni kweli kabisa Ila pia tunavumiliana tu hakuna aliekamilika manake tutaacha wangapi?!Lazima kuna majibu yatakuwa hivi!-Unataka hela sio!-Kuna kosa umefanya sio, ngoja nirudi!Nahisi kuna ndoa nyingi sana zinasurvive kwa sababu ya watoto tu bhaasi! Kwenye vigezo vingine zinapumulia mashine!
Hauna hata wa kuzugia!?
utakuwa umepata darasa bure
"Najua" ulimpataga
hiyo ndoa yako ni kongwe alafu anashangaa miaka yote mmeishi hujawai mwambia hivyo Kulikoni leo?umemuacha na swali
cha kukushauri dadaangu jenga mazoea kama enzi zile wakati penzi lenu linachanua ulivyokuwa binti mbichi,mkumbushie mlipotoka kwa siku mlikuwa mnaandikiana ujumbe wa I lov u mara ngap,nk ili asione ajabu siku nyingine ukimtext,nakupenda mume wangusasa unanishauri nini juu ya ndoa yangu?
mwaka wa 12 huu.Hili litakuwa penzi jipya