Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

mie niliandikiwa not admitted, nikafanya appl upya, bt nimejarib kubadil code inaniambia you are already admitted, lakin kwa profile Not Admitted bado inaonekana. Help me people

Logout halaf login tena imewatokea baadhi ya watu
 
jamani hivi usernema ndo hizi zinakua ivi s222/3434/2009 au nachanganya...kuna dogo ndo kanipa username katika mfumo huo(na passwd kanipa) ila naona ina goma kulogin..............................HELP PLEASE
 
kwenye iyo s222 anza hv S0222 hope itafunguka
 
SORRY TENA KWA MARA NYINGINE NIMEPEWA USERNAME IKO IVI S2223/0075/2009.......amenipa na passwd bt inagoma tatizo litakua wapi hapo wakuu??.......pia nimejaribu kuweka 0 yaaani S02223/0075/2009 bado ni yaleyale
 
Tatizo ni password
 
Angalia password itakua umweka capital latters.
 
mie niliandikiwa not admitted, nikafanya appl upya, bt nimejarib kubadil code inaniambia you are already admitted, lakin kwa profile Not Admitted bado inaonekana. Help me people

kuwa mpole! Kwa 2nd round huruhusiwi kuchange
 
mie niliandikiwa not admitted, nikafanya appl upya, bt nimejarib kubadil code inaniambia you are already admitted, lakin kwa profile Not Admitted bado inaonekana. Help me people

kuwa mpole! Kwa 2nd round huruhusiwi kuchange.Hiyo ulyoijaza umeshapta
 
Back
Top Bottom