Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,430
- 20,906
Unajidhalilisha!Hili jamii ikamilike lazima watu wote wawepo usilete ujauji sana
Unajidhalilisha!Hili jamii ikamilike lazima watu wote wawepo usilete ujauji sana
Kwa hiki Kiswahili acha tu wa Afrika Kusini wachukue walimu wa Kiswahili toka Kenya.Hili huwe na furaha na amani kaa mbali na ndugu utaondokana na usumbufu mwingi.
Hili huwe na furaha na amani kaa mbali na ndugu utaondokana na usumbufu mwingi.
Na hapo nimejitaidi sana..kumbuka mpaka unaitwa mwalimu wa kiswahili lazima usomee punguza ujuajiKwa hili Kiswahili acha tu wa Afrika Kusini wachukue walimu wa Kiswahili toka Kenya.
Na hapo nimejitaidi sanaUnaonekana una matatizo ya matumizi ya herufi H. Ukiweza rudi shule maana sasa hivi elimu ni bure.
Kila siku nawaza namuangalia mama yangu sumtyms mpaka nalia (when alone)...najiuliza ivi kuna mtu atakaye kuja kunipenda unconditionally kama anavyonipenda mama yangu ??
Ebana acheni tu. Ndugu wengine sio wengine ni wa ukweli sana. Mimi binafsi huniambii kitu kwa mama yangu na mama zangu wadogo nawapenda mnooo !!!
Ushawahi pewa upendo uliotukuka na mama yako mzazi ukiwa na utu uzima huo ?? That feeling is unexplainable man.
Kingine watoto wako wakuwazaa ndio ndugu zako wa kweli sio mkeo. Keep that in mind.
Mimi nina dada zangu ila bado siwakubali wala kuwa feel kwa lolote. We Live We Laugh ila deep down hamna kitu.
Aint No Woman / Human Alive Can Take Ma Mama’s Place.
Nakumbuka siku nasafiri na utu uzima huu (na kipato changu kizuri tu) Ikafika moment Mama naagana nae kituo cha bus akachomoa Buku 5 akanipa akaniambia ya njiani utatumia....Daah mazee kuna wakati kwenye bus nikajikuta machozi yananitoka tu watu wakawa wananishangaa hawaelewi nawaza nn kichwani mwangu.
Sorry Nimeandika Mgazeti. Lol
Na hapo nimejitaidi sana
Unajidhalilisha!
Mjinga tu ndiye anayeweza kujivunia mpumbavu!Najivunia hilo
Jamii bila sisi wapumbavu haijakamilikaMjinga tu ndiye anayeweza kujivunia mpumbavu!
Pumbavu!Jamii bila sisi wapumbavu haijakamilika
NaamPumbavu!
Umesahau na siku ukifilisika wana kukukimbiaSiku ukiumwa ukiwa unajiharishia kitandani ndio utaelewa! Kuna mwenzako juzi alikuwa na kansa ya kongosho amepauka kabaki mifupa yuko kitandani hoi bin taaban... mke na watoto wamemkimbia! Chunga very!
Mone money, habari yako mkuu."Aya "mkuu
Maisha magumu kila mtu hapambane kivyake..Tumekubaliana hiki cha huyu mzee tunaenda kwa roho mbaya na bajeti kali"Uho" ni "huroho" na roho mbaya