Ukitaka kuishi vizuri, kaa mbali na ndugu

Ukitaka kuishi vizuri, kaa mbali na ndugu

ndugu kwangu mm ni rahaa na nina furaha kua nao,
Kwa ili tupo pamoja. Napenda sana ndugu zangu hasa wajomba zangu ingawa wengi wao ni walevi wa kutupwa. Sehemu ambayo inayonipa amani zaidi ni kwenye nyumba ya familia ninapozungukwa na ndugu. Yani ma'mkubwa, ma'mdogo, kaka zangu, wadogo zangu....list ni ndefu. Feeling happiness, 'love them all.
 
Kila siku nawaza namuangalia mama yangu sumtyms mpaka nalia (when alone)...najiuliza ivi kuna mtu atakaye kuja kunipenda unconditionally kama anavyonipenda mama yangu ??

Ebana acheni tu. Ndugu wengine sio wengine ni wa ukweli sana. Mimi binafsi huniambii kitu kwa mama yangu na mama zangu wadogo nawapenda mnooo !!!

Ushawahi pewa upendo uliotukuka na mama yako mzazi ukiwa na utu uzima huo ?? That feeling is unexplainable man.

Kingine watoto wako wakuwazaa ndio ndugu zako wa kweli sio mkeo. Keep that in mind.

Mimi nina dada zangu ila bado siwakubali wala kuwa feel kwa lolote. We Live We Laugh ila deep down hamna kitu.

Aint No Woman / Human Alive Can Take Ma Mama’s Place.

Nakumbuka siku nasafiri na utu uzima huu (na kipato changu kizuri tu) Ikafika moment Mama naagana nae kituo cha bus akachomoa Buku 5 akanipa akaniambia ya njiani utatumia....Daah mazee kuna wakati kwenye bus nikajikuta machozi yananitoka tu watu wakawa wananishangaa hawaelewi nawaza nn kichwani mwangu.



Sorry Nimeandika Mgazeti. Lol
Kweli....
mama mzazi ana mapenzi ..
hata mtoto wako hatafikia penzi la mama kwako!
Nasikitika sana wangu aliondoka mapema!
Athar naziona!
 
Nakuona kijana wa Mr Tola
Ila nikukumbushe tu uchoyo ni kitu kibaya sana.
 
Nadhani uyu ndugu ana hoja ya msingi. ila hajaiwasilisha vizuri kwa kinaganaga.

ila ukweli kukaa na ndugu na wazee wako kama umeoa ni balaa bora ukae mbali na kuwa hudumia ukiwa mbali nao. lasivyo utaishi kwa taabu sana na mkewako.
 
Ukiona mtu anatafuta hela kwa bidii sana, anafanya mambo flani ya ajabu ajabu ili aje kuwa na maisha mazuri na familia yake au mtu anakuwa katili sana na pesa yake aliyoitolea jasho...kaa chini muangalie alaf tafakari kwa mapana sanaa.

Lazima kuna vitu ameviona kwenye haya maisha vikamkera na kumchukiza sanaa.

Haya maisha tunayoishi na life la hapa duniani sio poa kabisa. N*ggas go an extra mile when building wealth.

Pesa ndio ndugu wa kweli baada ya mama yako mzazi (Kama umebahatika kumpata mama anayekupenda, wapo waliokosa haya mapenzi na ni wazi hawako sawa)

Kama mnabisha kuna siku mtakumbuka hii post yangu.
 
Pesa
Ukiona mtu anatafuta hela kwa bidii sana ana anafanya mambo flani ya ajabu ajabu ili aje kuwa na maisha mazuri na familia yake na mtu huyo anakuwa katili sana na pesa yake...kaa chini muangalie alaf tafakari kwa mapana sanaa.

Haya maisha tunayoishi sio poa kabisa, life la hapa duniani sio poa kabisa. N*ggas go an extra mile when building wealth.

Pesa ndio ndugu wa kweli baada ya mama yako mzazi.

Kama mnabisha kuna siku mtakumbuka hii post yangu.
PESA ndio ndugu wa kweli hapa duniani
 
Mkuu siyo kila anayeandika hivo ni mjinga wenginewni asili yao nimeona watu want master kabisa lakini kwenye kuandika hizo herufi ni kimbembe hasa wahaya, waruguru na wengineo
Unaandika kama darasa la kwanza. Hukitaka- Ukitaka, Hili- Uli, Ulisomea ujinga?
 
Back
Top Bottom