Ukitaka guest, lodge au motel ijae na ipendwe basi isikose vitatu ndani ya vyumba,tv,computer, maji ya moto, ofa ya polisi 2 kulala bure

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Computer utaweka kila chumba kitakachobaki ni mteja kuja na modem yake kwa ajili ya internet,kama hana basi aje na flash ya nyimbo au device nyingine,TV pamoja na maji ya moto,na ofa ya polisi wawili kulala Bure hotelini kwako utakuwa umeweka ulinzi bila wao kujua.naiomba serikali iamlishe kila mwenye guest aweke mfumo wa maji ya moto ya kuoga.

Kwa wazo hili LA computer ni jipya,natumai mmiliki wa Kilimanjaro Hotel HyattRegent atanipa usiku mmoja Bure kulala hotelini kwake.
 
Uamrishe maji ya moto hivi unalijua joto la Dar miezi ya mwisho wa mwaka na kipindi cha mvua?.

Au unaishi Makete?.
 
Hv vitu ulivyosema syo wamiliki wa lodge/guest hawapendi kuweka bt sisi wabongo ni chorichori sana mfano huku kijiji kwetu kuna jamaa kajitahid kajenga guest yake na kaweka kila chumba tv basi kuna siku asubuhi wamekuja wageni watatu na mizigo Yao ambayo ni maboksi bt kwa maelezo ya mhudumu hajui ndani ya maboks kulikuwa na nn wakachukua Vyumba vitatu na wakalipa basi jioni wakamwambia Yule mhudumu tunasafirisha haya maboks yetu then tutarudi kuja kushtuka Usiku tv hakuna Vyumba vyote vitatu.
 
Computer bei rahisi sana sasa labda apple desktop ndio IPO juu
Mathalan computer moja inauzwa tsh. 300000,kwa hiyo kama lodge yako ina room 10 jumla ni 300000x10=3000000tsh.
Sasa hii milioni 3 ni bora kutanua biashara nje ya lodge kuweka hata grocery au restaurant kuliko kuiteketeza kununua computer wakati asilimia 80 ya wateja hawana muda huo wa kutumia computer lodge.
Wateja walio wengi wanawaza leo alale kesho aendelee na safari yake,na wateja wengine wanawaza kutifuana na demu wake.
 
Hv vitu ulivyosema syo wamiliki wa lodge/guest hawapendi kuweka bt sisi wabongo ni chorichori sana mfano huku kijiji kwetu kuna jamaa kajitahid kajenga guest yake na kaweka kila chumba tv basi kuna siku asubuhi wamekuja wageni watatu na mizigo Yao ambayo ni maboksi bt kwa maelezo ya mhudumu hajui ndani ya maboks kulikuwa na nn wakachukua Vyumba vitatu na wakalipa basi jioni wakamwambia Yule mhudumu tunasafirisha haya maboks yetu then tutarudi kuja kushtuka Usiku tv hakuna Vyumba vyote vitatu.
***** wezi wana hesabu ndefu sana
 
utoto unakusumbua, yaani askari walale bure wamenisaidia kujenga? askari wenyewe ndio vibaka wakubwa, bora ungesema iwe na walinzi wa kutoka security companiy inayoeleweka. computer ya nini sasa hicho ni chumba cha kulala sio ofisi
 
Anafikiri maaskari huwa wanatosheka wale.
Ukimpa sehemu ya kulala bure atataka umnunulie lunch na dinner,ukimaliza hapo atataka umnunulie na bia anywe.
Sasa hapo tabu yote ya nini.
utoto unakusumbua, yaani askari walale bure wamenisaidia kujenga? askari wenyewe ndio vibaka wakubwa, bora ungesema iwe na walinzi wa kutoka security companiy inayoeleweka. computer ya nini sasa hicho ni chumba cha kulala sio ofisi
 
TV kwako unaona ishu sana? Wengi wa vipato vya juu hawana time na kuangalia TV, hizo ni kuwekea watu masikini ndo wana muda, maji ya moto hata gest za 10,000 hiwa kuna maji ya moto
Computer utaweka kila chumba kitakachobaki ni mteja kuja na modem yake kwa ajili ya internet,kama hana basi aje na flash ya nyimbo au device nyingine,TV pamoja na maji ya moto,na ofa ya polisi wawili kulala Bure hotelini kwako utakuwa umeweka ulinzi bila wao kujua.naiomba serikali iamlishe kila mwenye guest aweke mfumo wa maji ya moto ya kuoga.

Kwa wazo hili LA computer ni jipya,natumai mmiliki wa Kilimanjaro Hotel HyattRegent atanipa usiku mmoja Bure kulala hotelini kwake.
 
Huyu ni zao la kizazi cha sasa kile cha Ndalichako
utoto unakusumbua, yaani askari walale bure wamenisaidia kujenga? askari wenyewe ndio vibaka wakubwa, bora ungesema iwe na walinzi wa kutoka security companiy inayoeleweka. computer ya nini sasa hicho ni chumba cha kulala sio ofisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom