Acheni chuki za kijinga nyie! hakuna mtanzania asiyejua uchapakazi wa mwakyembe, inaonyesha mleta hoja una chuki binafsi
Hivi mwakyembe ameongeza ndege ngapi ATC?
Kufufua ATC na Reli kwa bajeti gani? Ndiyo maana alianza kwa kutimua majizi wa India (Rite) na mengine ya ndani ili kitambaa kitoshe angalau kushona bukta tu. Vichwa vya reli vimefufuka zama zake, bandari kulioza, ATC ya akina Basil Mramba na Omari Nundu ilikuwa hoi, hebu acheni utani wenu kuhusu Mwakyembe. Hii ni kawaida kwa mawaziri wachapaka kazi kushikwa mikono wanapogusa maslahi ya watu, c/o Dkt. Magufuli na malori yanayoharibu barabara zetu, kitu gani kilimtokea Magufuli? Kama Mwakyembe anajua kusoma alama za nyakati akihame CCM haraka kabla watanzania wengi hatujausahau bado mchango wake katika kuzuia usafirishaji dawa za kulevya airport, kufufua reli, kuzuia wizi bandari na ujenzi wa viwanja vya ndege. Asisubiri watanzania wasahau moto wake kama vile walivyousahau moto wa Lyatonga Mrema katika enzi zake.Mleta uzi inawezekana akakosa presentation format au skills au vyote kwa pamoja lakini tunakosea na kukhukumu mtu through his weakness. Tuangalie facts na achievements za Mwakyembe katika sekta ya usafirishaji- ATC, Bandari na Reli. Has he really delivered to the expectations of the Wananchi? SCANDALS kama expenditure ya TZS 30 billion kugharimia matangazo ya mkutano wa wafanyakazi wa Bandari na mkutano wenyewe. Is it worthy it? is there value for money? Kulikuwa na umuhimu wa mkutano wa gharama kiasi hicho. What have we achieved. Kwa nchi inayoendelea tunahitaji barabara ambazo gharama ya kuzihudumia na zina short life span au Reli? Amefanya nini practically kuinua sketa ya reli? Amefanya nini kuinua ATC ijiendeshe? Je, anastahili kuangaliwa katika jicho lisilokuwa na mawaa?
Mwakyembe kaondolewa uchukuzi na wauza sembe FULL STOP!!
Sembe zinapita kama kawaida wapendwa hakuna jipya.
Huyu aliharibu juzi aliposema atadili na mabehewa mizigo ianze pelekwa mikoani na treni; alipoulizwa vipi malori akajibu utumbo tutakaa nayo tuwaambie treni tunafikisha mzigo hapa, kuanzia hapa muanze kubeba mizigoyenu weeewee.
Asilimia50 ya wakubwa wanaishi na malori ya mizigo rest sembe unahisi wangemuacha never,,, ila ni fundisho ukipewa uwaziri hata kama unafanya jambo jema kuwa msiri sio unaropoka kila sehemu.
Alikuwa na uwezo wa kufanya haya bila ya kujulisha umma alipojitangaza akatoa aina ya silaha kwa maadui wakamshugulikia na ak49