kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,185
- 4,881
Kwahiyo kaka hadi ule Uzi wa riki boy kula tunda kimasihara ni kitabu eeh
Remember you"re choose to be here
Remember you"re choose to be here
Kujua mambo mengi kunaweza pia kukakuhatarishia afya yako...huwa nawaza wale jamaa waliofeli darasa la saba miaka yetu huenda wakawa wanaishi kwa furaha sana sababu hawajui mambo mengi yanayowazunguka hivyo hawaumii kila kitu wanaona sawa tu.Wazee Sina mengi, Ila nimejifunza mengi jamii forum, nilichogundua UKISOMA Topic nyingi unakuwa huna tofauti na Zitto kabwe anayesoma VITABU 100 kwa mwaka.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahyo mkuu bora tubaki tu tusijue tusije umia au.Kujua mambo mengi kunaweza pia kukakuhatarishia afya yako...huwa nawaza wale jamaa waliofeli darasa la saba miaka yetu huenda wakawa wanaishi kwa furaha sana sababu hawajui mambo mengi yanayowazunguka hivyo hawaumii kila kitu wanaona sawa tu.
Kuerevuka peke yako kwenye jamii ya wajinga wengi ni hasara kubwa!!
Kwa mfano kuna uwezekano 60% ya watanzania hawajui mchango anayofanya Zitto ama Lissu!! vile vile hawajui umuhimu wa vyama vya upinzani nchini.
wanaishi kwa raha sababu hawafikirii ada, kodi, matibabu no
Wao wanachojali ni ugali na pombe za kienyeji basi....siku ishakwisha hiyo.