Ukisoma thread za JF hauna tofauti na mtu aliyesoma vitabu vingi kwa Mwaka

Ingekuwa faida kama waliosoma hivyo vitabu vingi wangewekuwa na michango ya maana humu, au hata kwa familia zao, lakini mi naona umasikini unazidi na hakuna mwenye idea tofauti kututoa hapa, badala yake kila mtu anatamani akawe mwana siasa atuibie zaidi.
 
Mkuu hujapitia kale ka uzi ka kula tunda kimasihara nn?? Jf Kuna mambo ni hatare
Nyuzi kama hizo zipo za kutosha huwezi kusema ni sawa na kusoma vitabu labda inategemea na aina ya vitabu anavyomaanisha.

Japo pia ipo mijadala mizuri yenye kutoa elimu kulingana na wachangiaji walivyoandika ila bado haiwezi kuchukua nafasi ya vitabu.
 
Ingekuwa faida kama waliosoma hivyo vitabu vingi wangewekuwa na michango ya maana humu, au hata kwa familia zao, lakini mi naona umasikini unazidi na hakuna mwenye idea tofauti kututoa hapa, badala yake kila mtu anatamani akawe mwana siasa atuibie zaidi.
Wengi wanajisomea tu bila kuwa specific na area wanazotaka kuspecialize ili kukuza skills zao, kusoma vitabu mia tofauti tofauti vitakufanya uwe wakawaida lazima ukubali kuwa mjinga eneo fulani ili uwe mtaalamu eneo lingine, wengi wanataka kujua kila kitu, elimu ni bahari chagua eneo la kukomaa nao ili kuzuia utapiamlo wa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kuna wanaosoma kila kitabu ili kuwa na idadi kubwa ya vitabu, hakuna applications za walichosoma, faida iko wapi kwa msomaji au mtunzi au muuzaji wa vitabu?!
 
Back
Top Bottom