Ukisikia wenye fwedha wamekupora mke usilalamike.

huyu mi nagonga kavu bila hata kujadiliana kama ukimwi acha unipate lakini nimekula kitu roho inataka
 
jamani wewe kuporwa kwani imo? mie nadhani mtu anakuwa anajiporesha tu
 
Hakuna jipya ndg zangu, mtamaliza mabucha nyama ile ile.!
Mnatakiwa kuwa imara mwanaume kamili hawezi kulilia mwanamke kwani mlizaliwa wote je siku ukifa akabakia yeye dunianai si atabebwa na wengine.
bbbbrrrrrrrr acheni ujinga ndg zangu.
 
huyu mi nagonga kavu bila hata kujadiliana kama ukimwi acha unipate lakini nimekula kitu roho inataka

Kaka yangu Kigogo, ukiendelea na tamaa za namna hiyo hutaweza kumuona raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Au kwa kuwa siku hizi kuna ARV zakupa matumaini? Samahani kama nimekuumiza!!
 
Mama mdogo.
Huwa ushauri wako, avator yako, na jina lako vyote vinaendana. Asanteh sana mama kwa uelimishaji wako. Thanks again
 
Kwa kweli kaumbika mwanamke mwenzetu maana kizuri kipe haki yake. Mimi huwa namuadimire sana Irene Uwoya ila ningefurahi sana kama angekuwa ni kioo kizuri mbele ya Jamii -akatulia.
 
huyu mi nagonga kavu bila hata kujadiliana kama ukimwi acha unipate lakini nimekula kitu roho inataka

Najua unatania lakini....
Fikiria ni wangapi wanawazo kama lakwako?
Ndio maana siku hizi Ukimwi unasambazwa sana na vibinti vidogo vidogo. Watu wanapima kwa macho. Ahh haka kabinti kadogo katakua safi, mtu unaingia mkenge!! Ukweli ni kwamba ukijaribu tu bila kinga umekwenda na maji!! wengine huwa wanasema ukimwi mpaka mchubuko uwepo. mimi nasema hapana. Kama wewe ni mzee wa nyama kwa nyama, jaribu siku moja kumwagia ninihii yako spirit baada ya shughuli, hapo utajua kua hakuna siku unaweza kufanya hilo tendo ukatoka bila mchubuko. wanajamii naomba tujali maisha yetu. Wengi wanatutegemea jamani
 
Kaka yangu Kigogo, ukiendelea na tamaa za namna hiyo hutaweza kumuona raisi wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Au kwa kuwa siku hizi kuna ARV zakupa matumaini? Samahani kama nimekuumiza!!

be blessed mama mdogo
 
watafiti wa mambo ya saikolojia wanasema wanaume wanaooa wanawake warembo/wazuri sana wana hatari kubwa ya kupata magonjwa mbalimbali nakufa mapema kwa sababu ya wasiwasi wa kunyang'anywa au kuzungukwa na watu wengine; sababu ya wivu, na hofu katika moyo. Daima wanakuwa na mawazo na tension kubwa. Hvyo ni hatari kuuugua. Ndo hayo ya kuoa mwanamke mrembo kama huyo wa hapo kwenye picha. Ukimwoa huyo jiandae kupata presha, kisukari,ugonjwa wa moyo na siku ya masiku moyo unapasuka. Kwe heri mwalimu!
 
watafiti wa mambo ya saikolojia wanasema wanaume wanaooa wanawake warembo/wazuri sana wana hatari kubwa ya kupata magonjwa mbalimbali nakufa mapema ............................. Ukimwoa huyo jiandae kupata presha, kisukari,ugonjwa wa moyo na siku ya masiku moyo unapasuka. Kwe heri mwalimu!

Kama utafiti huu ni wa kweli, basi mwanamme akioa mwanamke mrembo anajiweka katika mazingira hatarishi. Sasa washauri wanawake wazuri waolewe na wanaume wa namna gani, kwani kuoa/kuolewa ni haki ya msingi ya mwanadamu mkomavu!!!
 
watafiti wa mambo ya saikolojia wanasema wanaume wanaooa wanawake warembo/wazuri sana wana hatari kubwa ya kupata magonjwa mbalimbali nakufa mapema kwa sababu ya wasiwasi wa kunyang'anywa au kuzungukwa na watu wengine; sababu ya wivu, na hofu katika moyo. Daima wanakuwa na mawazo na tension kubwa. Hvyo ni hatari kuuugua. Ndo hayo ya kuoa mwanamke mrembo kama huyo wa hapo kwenye picha. Ukimwoa huyo jiandae kupata presha, kisukari,ugonjwa wa moyo na siku ya masiku moyo unapasuka. Kwe heri mwalimu!
na kujiua vilevile umesahau.
 
Picha ingeonyesha hadi miguu yake bwana, asije kuwa na miguu kama nyangenyange au kama rungu la kimasai!
Ila kwa juu not bad!
 
WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..
1202109467_irenefrontwebs.jpg

Tatizo langu mimi ni hapo karibu na alipo shika na mkono wa kushoto
 
Is this not the Chinese era kweli? Manake lol so mchezo wangepiga mpaka miguu bana unaweza kuta miguu maeneo Mawenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom