BoManganese
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 979
- 2,673
Ni sehemu ya maisha, pole!I’m going through that time currently in my love life cc Asprin
Ni kipindi ambacho akili inakua kama imesimama mkuu yaan moja haikai mbili haikaiHuyo snail ajiangushe kwa upande tu ili ajipunguzie maumivu zaidi atakapoanguka
Pole bibi, huyu babu ni mshenzi. Teh kama hujanigeuka mimi tena kwa kumuita kipenzi chako mshenzi utasahau hadi maumivu anayokupaI’m going through that time currently in my love life cc Asprin
It hurts so good 😂Pole bibi, huyu babu ni mshenzi. Teh kama hujanigeuka mimi tena kwa kumuita kipenzi chako mshenzi utasahau hadi maumivu anayokupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaone kwanza. Ndio maana nilikupiga chiniPole bibi, huyu babu ni mshenzi. Teh kama hujanigeuka mimi tena kwa kumuita kipenzi chako mshenzi utasahau hadi maumivu anayokupa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hivi kumbe nimepigwa chiniKaone kwanza. Ndio maana nilikupiga chini