Viongozi kama hawa wanaweza kusimama imara wakati mgumu?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,800
71,222
Taifa lolote linahitaji viongozi bora na wagumu wawezao kuongoza wakati nchi imetulia lakini pia muhimu kama wakati mgumu kama Vita, Njaa, na Maafa mbalimbali.

Sasa tuna kundi kubwa la mawaziri vijana ambao hata kwa hulka zao za nje wanaonyesha hawana uimara huo.
Ona nchi iko kwenye amani kabisa lakini mambo mengi yanawashinda ila wawezalo ni kusimama majukwaani na sifa kwa Rais (tena wakimwita mama), wajibu ambao ni wa viongozi wa chama sio wao.

Yaani hakuna tofauti ya chawa na waziri mpaka unajiuliza ndani ya Baraza la mawaziri (BLM) kweli kunaweza kuwa na mjadala mkali pengine hata kufikia wengine kutishia kujiuzulu kama jambo linaamriwa na haliko sawa au mambo ni kama kwenye bunge hili la sasa?

Kweli tupate vita kama Ukraine ya kuvamiwa na jirani na kucharazwa hasa, hawa wanaweza kutengeneza mikakati bora ya serikali kuendeleza yanayoipasa?

Kwenye hili la hawa vijana mawaziri tuseme wazi tume feli ila tumepata timu bora ya Praise & worship
Tazama tuu hiyo picha, wenye kujua Alama za picha wamepata jibu.

20231021_050807.jpg
 
View attachment 2787834
Wanatuangusha
 
And this needs to be the post of the day! Wote hapo ni "takataka" chekechea! Ukichunguza sana hao wote ni academic failures, intellect ya kuongoza wataitoa wapi.

This UONGOZI business need training, hard training! Nape ni Div 4 point 32 kama sikosei, huyu eti ni waziri! Yuko pale kwa vile baba yake alikuwa mwanzilishi wa siasa za tanganyka, he is not there on merit!
 
Inasikitisha! Wakati mwingine muonekano wa mtu tu unaonyesha huyu ana akili au hana! Hao wote hamna kitu! mazezeta! Huyo mwingine kapanua viganja anaomba dua! Ili iweje?
Dua, dua dua..anaomba dua, say , ili virus wafe, kweli virus watakufa kwa kuomba dua au unahitaji proper medication .....
 
Kweli of all people in TZ, huyu chekechea Slaa ndiye awe waziri wa ardhi? Huyu Samia ameweka historia ya kuwadhalilisha wanawake kuwa hawana uwezo wa kushika nyadhifa kubwa kubwa!@ Wakalee watoto na kupika
 
And this needs to be the post of the day! Wote hapo ni "takataka" chekechea! Ukichunguza sana hao wote ni academic failures, intellect ya kuongoza wataitoa wapi.

This UONGOZI business need training, hard training! Nape ni Div 4 point 32 kama sikosei, huyu eti ni waziri! Yuko pale kwa vile baba yake alikuwa mwanzilishi wa siasa za tanganyka, he is not there on merit!
Na hilo la kutoa madaraka kwa kufuata majina linaangamiza sana taifa.
 
Kweli of all people in TZ, huyu chekechea Slaa ndiye awe waziri wa ardhi? Huyu Samia ameweka historia ya kuwadhalilisha wanawake kuwa hawana uwezo wa kushika nyadhifa kubwa kubwa!@ Wakalee watoto na kupika
Na usikute zile tetesi kuwa huyo mama yao anataka kumrudisha Bashite kwenye circle ya uongozi ni za kweli!
 
Mh. Bashe katika picha.....
20231021_050807-jpg.2787834
....kana kwamba anawakodolea(zoom uone) wale wanaodai BBT aliyoasisi imo shimoni. Kwenye picha hii, kawajibu.
Halafu mnasema Mawaziri vijana hawana sura na uwezo wa Vita?

Meku
 
Taifa lolote linahitaji viongozi bora na wagumu wawezao kuongoza wakati nchi imetulia lakini pia muhimu kama wakati mgumu kama Vita, Njaa, na Maafa mbalimbali.

Sasa tuna kundi kubwa la mawaziri vijana ambao hata kwa hulka zao za nje wanaonyesha hawana uimara huo.
Ona nchi iko kwenye amani kabisa lakini mambo mengi yanawashinda ila wawezalo ni kusimama majukwaani na sifa kwa Rais (tena wakimwita mama), wajibu ambao ni wa viongozi wa chama sio wao.

Yaani hakuna tofauti ya chawa na waziri mpaka unajiuliza ndani ya Baraza la mawaziri (BLM) kweli kunaweza kuwa na mjadala mkali pengine hata kufikia wengine kutishia kujiuzulu kama jambo linaamriwa na haliko sawa au mambo ni kama kwenye bunge hili la sasa?

Kweli tupate vita kama Ukraine ya kuvamiwa na jirani na kucharazwa hasa, hawa wanaweza kutengeneza mikakati bora ya serikali kuendeleza yanayoipasa?

Kwenye hili la hawa vijana mawaziri tuseme wazi tume feli ila tumepata timu bora ya Praise & worship
Tazama tuu hiyo picha, wenye kujua Alama za picha wamepata jibu.

View attachment 2787834
Mkuu usisahau kuwa, hao wote ni vijana wetu, wametoka miongoni mwetu, wametokana na jamii yetu. Hao ni true reflection ya sisi tulivyo kwa sasa! Hao ni picha halisi ya jamii yetu ilivyo!
 
Mkuu usisahau kuwa, wametoka miongoni mwetu, wametokana na jamii yetu. Hao ni true reflection ya sisi tulivyo kwa sasa! Hao ni picha halisi ya jamii yetu ilivyo!
Anyway, this is too general, a small sample size to make a valid scientifically backed conclusion, but makes some sense
 
Back
Top Bottom