Ukisikia neno siri unaelewa nini?

Unaweza kuchangia mada bila ku m attack mtu ?
Naomba usiniharibie uzi kwa hizo sukari zako tafadhari sana ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Nyongeza : sio lazima tufanane kama mada hailbariki pita hivi๐Ÿซด

Narudia usiniharibie uzi kwa battle za kipuuzi๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Faragha inaweza isiwe siri.
Ukienda gesti na mwanamke, mtu wa mapokezi anakuwa anajua/kuelekea kuelekea kujua unachokwenda kufanya, ila utakuwa na faragha sababu upo chumbani. Hakuna siri pale kuna faragha.
Wow umeeleza vyema Red black
Mfano mwingine, ukienda ATM ukakuta watu pale nje wapo kwenye foleni, wale wanajua unakwenda kutoa hela, ila kitendo cha kutoa hela kikawa cha faragha.
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
Siri ni pale hakuna mtu anajua au hata kubashiri kitendo kilichotokea. Ndio maana utaambiwa hakuna siri ya watu wawili.
Umesema vizuri platinum ๐Ÿค
 
Nothing serious, wewe ndo muhusika wa mada I have no obligation ku ku tag! Au wewe sio msiri tena?

Nachangia na hakuna kitu utafanya. Nitapinga na kumtagg mtu yoyote kama sijamdhihaki it's okay
 

"Privacy is the right to control your personal boundaries and what information is shared with others, rooted in respect and dignity. Secrecy is the deliberate concealment of informationโ€”often driven by fear or shameโ€”because you know it could harm a relationship or alter how others perceive you"

Watu wengi siri mnaweka bayana na bayana mnaficha, ndio maana ni rahisi siri zenu kujulikana. ๐Ÿ˜Š
 
Nothing serious, wewe ndo muhusika wa mada I have no obligation ku ku tag! Au wewe sio msiri tena?

Nachangia na hakuna kitu utafanya. Nitapinga na kumtagg mtu yoyote kama sijamdhihaki it's okay
Nakuunga mkono kwa nguvu sana, mawazo tofauti muhimu wamatumbi wengi wanataka democracy wakati moyoni ni madikteta
 
Thank you ๐Ÿ˜Š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ