Ukisikia mtu anauza Iphone 5s, niambie.

Ukisikia mtu anauza Iphone 5s, niambie.

Sitafuti sinu kwa ajli ya spare .
So usije hapa unaimbie unayo sijuinimekufa nini , natafuta mtu anayeuza simu nzima .

Ahsante .

Bei yangu tuanze kudiscus from 400000/=

Isiwe white.
Oi kuna jamaa anauza Mia 310 unaweza kushuka nae ukitaka nakupa namba yake sema mm nipo sua moro jamaa yupo hapo town fundi computer sina njaa ya cha juu ushindwe ww.
 
Nipe no. Yake please . Nitashukuru.
Kesho nikiota pindi nitapitia ofisini kwake maana no yake ilikua kwenye laini nyingine ambayo nimebadilisha juzi tu sema Sioni nilipoiweka sema usikonde mkuu.
 
Wazee wa iPhone kwenye ubora wenu..hongereni hizo simu nazielewa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom