Ukisikia fumanizi basi ndo hili...

Ukisikia fumanizi basi ndo hili...

Hao madume tunacheza nao Circus !! yaani hata kwenye gari unampakia!!

enhanced-buzz-7987-1401168739-9.jpg
na kumpanda ka farasi !! Ona hiyo

Hizo korodani unaziweka rehani mkuu,simba wanapenda nyama laini.
 
Hapo unaingia ndani unafunga zipu,ukijifanya kukimbia hufiki pooite
 
Unaanza kupiga makofi na kuimba pambio.....anameremeee...anameremetaa ..simbaaaaa anamerremetaaa anameremetaaaaaaaaaaa!! Ataondoka akiona unamsifia!!... .ukitoka hapo nduki bafuni kujisafisha!!!!

Dah!
Kwa Mwaka Huu Hii Yaweza Kuwa Comment Ilionichekesha Zaidi,
Ila Simba Dume Hanaga Shida Zaidi Labda Kuwe Na Sababu.
 
jamaa atakuwa kashafungua toilet ya fasta hapo kunako suruali
 
Ukitaka kujua huyu jamaa noma umsikie tu akinguruma usiku porini kilometa 1 kutoka mahali ulipo sasa sipati picha akikutokea live kama hivi utajisikiaje
 
Bad news ni kwamba, hata hiyo bunduki ambayo ipo mbali, risasi zake zipo ndani ya begi, haija'lodiwa bado.
Ili kuitumia ni lazma utoe risassi kutoka kwenye begi kisha ndio ui'load.
 
Unaweza kujikuta unakimbia speed hata simba hakukamati
 
Jamaa ameshaachia,suruali haifai. Uzuri ni kuwa simba hawali mizoga, harufu na msururu wa inzi wa chooni imekuwa salama yake. Mzee simba anadhani kuwa huyo jamaa ni marehemu, anashangaa maiti inasoma.
 
Back
Top Bottom