Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Simba kaja kuomba maliwato!
Halafu eti silaha kaiweka mbaaaali tena nje. Is this advisable in camping?
kaka simba mimi sijasema ha ha ha ha
Ha ha ha haaah,,,,,,,,huko mbugani ndugu yangu kunatisha, wengine hata ujasiri wa kulala katika nyumba iliyo huko nisingekuwa nao.Ndio maana nilivyokwenda Serengeti nilikataa katakata kulala kwenye Tent nkalala day 1 jikoni day 2 kwenye gari.
Uanze na shkamoo lakini.
angemchezea ndevu hapo sawa jamaaa kapigwa butwaaMbona simba mwenyewe yupo kama shoga. Hana tofauti na nyoka wa kisimani au nyuki wa mashineni au nyoka wa kibisa.
Unaanza kupiga makofi na kuimba pambio.....anameremeee...anameremetaa ..simbaaaaa anamerremetaaa anameremetaaaaaaaaaaa!! Ataondoka akiona unamsifia!!... .ukitoka hapo nduki bafuni kujisafisha!!!!
ha ha ha lazima na useme i love u ... Na hiyo bunduki ni ya kuchezea tu
Wataaalamu wa porini wanasema simba dume hana tabu sana kama wa kike, huyo kuna maneno ukimwambia anakuachia. Ubaya wake utauona kama umetoka kula Mbunye akihisi harufu hudhani umetoka kula mbunye ya Simba jike wake....Utambeba