Ukishangaa ya Mussa

Walimu wasioweza kujifundisha, kweli mganga hajigangi, tatizo lilianziaga walimu wa shule za msingi miaka hii hadi walimu wa sekondari ni walewale
 
Hapo kwenye bla bla blaa umenikumbusha katuni ya Hotel transylvania blee blee bleeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Madam you made my day.
 
Yote nimekuelewa mkuu,lakini bado mwapeleka watoto kwa hao wasioweza jiongoza,je hamuoni kwamba nyie ndo wapumbavu?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unajua madam ungekua karibu ningekupiga konzi la komwe aiseee!!??
Tunawaleta kwenu kwasababu hii ndio kazi yenu,kukengeuka kwenu bado haiondoi kuwa ninyi ndio wafuta ujinga wa watoto wetu.
Ila hiyo haimaanishi kuwa tukae kimya tusiwakumbushe ninyi kina nani.
Mbona wenzenu wa private schools wako njema aiseee!?
Jitahidini kujikumbuka ninyi kina nani mmejisahau.
Yani kama hili taifa lingetakiwa lifanyike mapinduzi ya uongozi serikalini basi walimu ndio wakwanza ambao wangefanikisha hilo na imekua tofauti kwa kuwa wakwanza kulikwamisha hilo.
 
Walimu wasioweza kujifundisha, kweli mganga hajigangi, tatizo lilianziaga walimu wa shule za msingi miaka hii hadi walimu wa sekondari ni walewale
Halafu kwa ku play victim sasa kama mama anayedaiwa na mwanaye.
 
So Sorry Teacher T.y,,,Kwa niaba Yao,,,ni vijikwezo vya kiubinadamu na kujisahau kupitiliza.
 
Oooh jaman mbona una hasira na mwalimu wetu humu jf leo🀣au kuna ticha keshawahi kubutua bila kosa enzi zako

sio kushukuriwa,,ni kama tunawadharau , kwaio anataka tuache eti
Wanapewa malipo ya kazi yao, kubutuliwa huko ni kawaida yao kutafuta pa kushushia hasira zao nashukuru saiv wanabanwa na serikali katika jambo zima la adhabu, sasa machungu aliyonayo mtoa mada unadhani mtoto asipoelewa aeiou nini kitamkuta!

Sie hatuna shida nao wao ndo wanajushtukiaga tu wakijileta km hivi unawaambia ukweli wao wanaanza na kulaani, nilikufundisha my foot
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…