Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,587 Reaction score 19,835 Aug 17, 2024 #201 Hivi Ni Nani huyo aliyekuchokoza madam To yeye ?
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,778 Reaction score 8,369 Aug 17, 2024 #202 Shida yenu uoga na uchawa.
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 15,089 Reaction score 24,205 Aug 17, 2024 #203 Ms R said: Wao wenyewe ndo wa kwanza pia kuvaa kofia na vitenge vya ccm toleo la kwanza🤣 Click to expand... Walimu nyama wakivaa zile T-shirt za CWT huwa wanavimba wanaona wamewin, ni walimu hao mwenye ukipita kwao lazima wakatwe kuchangia mbona hatusikii kwa wengine??, mna chama cha kuwatetea lakini mbona hakiwatetei, mainjia hivi wana chama?
Ms R said: Wao wenyewe ndo wa kwanza pia kuvaa kofia na vitenge vya ccm toleo la kwanza🤣 Click to expand... Walimu nyama wakivaa zile T-shirt za CWT huwa wanavimba wanaona wamewin, ni walimu hao mwenye ukipita kwao lazima wakatwe kuchangia mbona hatusikii kwa wengine??, mna chama cha kuwatetea lakini mbona hakiwatetei, mainjia hivi wana chama?
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 15,089 Reaction score 24,205 Aug 17, 2024 #204 Soulja boy said: Shida yenu uoga na uchawa. Click to expand... walimu wanamuogopa mpaka mwalimu mwenzao, kikumbwa tu akiitwa mkuu wa shule kah! wanaogopa sana maisha, wanaogopa sana kufukuzwa
Soulja boy said: Shida yenu uoga na uchawa. Click to expand... walimu wanamuogopa mpaka mwalimu mwenzao, kikumbwa tu akiitwa mkuu wa shule kah! wanaogopa sana maisha, wanaogopa sana kufukuzwa