Ukishangaa ya Mussa!

Mkuu nieleweke vipi? Kuanzishwa kwa REA hakuna maana utendaji umeanza. Hata Nyerere alitaka makao makuu yahamie Dodoma toka 1972.

Tatizo lenu ni CHUKI na HASADA maana Chuma alikuwa strictly na alijua machimbo yenu yote akayafukia kama Kagame na Wachungaji wa Rwanda. Watu walizoea vya kunyonga, walichokaa tukazaa Wachungaji ambao leo ndio ati habari ya mujini. Miafrika bana, haiwezi badilika kama sii Wachungaji basi Uchawi halafu kutwa mtaani wamevaa kanzu. Kwikwikwi
 
Wapinzani gani walotekwa? Hivi Yule Meya alipotaka kutekwa na kina Kubebea ilikuwaje? Na iliishaje.mbina hamkusema!

Ben Saanane aligundulika ndani ya Chadema kuwa Shushushu wa CCM. Alimpifa vita mpaka Zitto akaondolewa Chadema. Dr Slaa mwenyewe 2016 alikimbilia Canada! Alikimbia nini? Kwa nini mnadhani ni Magufuli tu ndiye mtekaji?

Let's be reasonable. Kama kweli Magufuli angetaka kuua Upinzani kwa.kupoteza watu, basi watu kwanza kukamatwa wakapotezwa wangekuwa MBOWE, ZITTO, LOWASSA na MAALIM SEIF maana hawa ndio nguzo ya vyama hivyo. Hakuwagusa kabisaaa. Lakini utasikia sijui Abdul nani! Mawazo! Hawa kina nani haswa.mpaka Magu aweke nguvu dhidi yao.

Hakuna mtu alowajua hawa watu mpaka wamepotea kimazingira ndio parapanda zikapigwa dhidi ya Magufuli wakaachwa Wachungaji. Leo hii kuna Watoto wa kiume wanalawitiwa kama hakuna dini. Wachungaji ati wanakana Ushoga wakati wao wenyewe Mabasha!

Eeeh Mola tuepushe na Balaa hizi
 
Mkandara Nyerere alitaka Makao Makuu yawe Dodoma ila hakutekeleza kwa sehemu kubwa lengo hilo la kuhamia Dodoma. Lakini kuanza kuhamia Dodoma kulianza wakati Mwalimu akiwa Rais na ndiyo maana kuna Ikulu ya Chamwino ambayo Mwalimu alikuwa anaitumia.

Halafu wewe una mambo binafsi na Wachungaji. Jenga hoja zako bila ya kuingiza mning'ino wa Ugiligili unaotokana na chuki zako kwa hao wachungaji?

Hata hivyo, Afrika peke yake ndiko kuna wachungaji!!
 
Ben Saanane aligundulika ndani ya Chadema Shushushu wa CCM. Dr Slaa mwenyewe alikimbilia Canada!
Nyie watu sijui ni kwa nini huwa hamna hata hisia za utu ndani mwenu.

Ben Saanane aligunduliwa na nani kwamba ni Shushushu ndani ya CHADEMA na aligunduliwa lini na wewe ulipata lini taarifa hizo??

Hivi leo unataka kusema kweli kwamba Slaa alikimbilia Canada? Hujui Slaa alikwendaje Canada??
 
Ikulu zimejengwa karibu kila Mkoa, ebu rekebisha maneno yako. Nazungumzia Makao Makuu. Kuhamia Dodoma yamefanyika wakati wa Magu, sawa na miradi ya umeme kwenda vijijini ilikuwa ilani toka wakati wa Mkapa
Usolijua ni sawa na usiku wa kiza. Wee kaa na hao Wachungaji kanisa linahitaji sadaka zenu hahahaha
 

..Ushoga ulikuwepo hata wakati wa Magufuli, na kabla ya hapo.

..kuzungumza kana kwamba umeibuka baada ya Magufuli kufariki ni kujidanganya.

..muangalie shujaa wako Magufuli akiwa na wa.firaji watoto ktk Ikulu ya Mwalimu Nyerere.


 
Ikulu zimejengwa karibu kila Mkoa, ebu rekebisha maneno yako.NaUngumzia Makao Makuu. Kuhamia Dodoma yamefanyika wakati wa Magu, sawa.na miradi ya umeme kwenda vijijini ilikuwa ilani toka wakati wa Mkapa
 

..Ben Saanane angekuwa amepotezwa na Chadema Magufuli angehakikisha anawadaka wote waliohusika.

..hata Lissu angekuwa ameshambuliwa na Chadema Magufuli angewakamata waliohusika bila kuchelewa.

..yaani Chadema waue au wafanye utekaji halafu Magufuli na watu wake wakae wanaangalia tu?!

..nchi hii ukiona tukio halichunguzwi au linatolewa maelezo yasiyo na kichwa wala miguu ujue wahusika ni watu wakubwa.
 
..Ushoga ulikuwepo hata wakati wa Magufuli.

..kuzungumza kana kwamba umeibuka baada ya Magufuli kufariki ni kujidanganya.

..muangalie shujaa wako Magufuli akiwa na wa.firaji watoto ktk Ikulu ya Mwalimu Nyerere.


Ushoga upo toka enzi ya NUHU. Ni vema sana kusoma hoja ukaielewa na sii kuchukua vitu in general. Leo hii Tanzania yetu Ushoga utapelekwa.mpaka mashuleni, tumahukuru Mwakyembe kutoa taarifa laa ilikuwa kawaida. Halafu unawasikia wakilaani lakini wambie wajitoe hadharani kulaani vitendo vya Ushiga kwenye vyonbo vya Kimataifa utasikia kigugumizi. Nipo tayari kuweka dau kama atatokea.kiongozi yeyote leo hii atangaze kwenye vyombo vya habari duniani kuwa Tqnzania hatutali Ushoga! THUBUTU, LAKINI Chuma angesema wazi wazi kama Mseveni.
 
Magufuli hakuwa mtu wa kuingilia mambo ya watu au taasisi. Mzee Mang'ula yule pale alipewa sumu ulimuona kamkamata mtu? Yeye mwenyewe alipewa sumu kabaki analalamika! Kama kweli angekuwa mbaya hivyo, alipokuwa rais mtu wa kwanza kumfanyia ni yule alotaka kumtoa uhai wake lakini hakufanya. Mnashindwa hata kufikiri jamani.

Sema hivi Tanzania inaongozwa kwa imani ya kusadikika. Yaani vitu vya kusadikika kama Mandoga ndiye bingwa wa ngumi wakati kisha pigwa mara mbili hapa hapa nchini. Ndiye anawakilisha Taifa. Sijui UCHAWA yaani miujiza wa Wachungaji ndio inafanya kazi. Hakuna mtu anayekaa akafikiri kwa akili yake ila ya kushikiwa..
 

..chuma si unamuona hapo yuko na wafi._raji watoto kawapokea IKULU?

..sasa kiongozi wa aina hiyo ana msimamo gani kuhusu ushoga?

..Na umesahau barua ya Wizara ya Mambo ya Nje wakati Magufuli kuhusu suala la ushoga?

..Suala la ushoga nadhani ni maandalizi ya kupakaza tope la kisiasa, lakini kama jamii hatuko makini / serious ku-deal nalo.
 
Ikulu zimejengwa karibu kila Mkoa, ebu rekebisha maneno yako. Nazungumzia Makao Makuu.
Aisee!!

Hivi hujui Historia kiasi hiki!!??

Chamwino haikuwa na haijawahi kuwa IKULU ya hadhi ya mkoa!! Chamwino hadhi yake ni kama hadhi ya Ikulu ya Magogoni wakati wa Mwalimu hata sasa.
 

..hakuna uwezekano kwamba Mangula alipewa sumu na genge la Magufuli?

..kwanini wahusika hawakukamatwa na kupelekwa mbele ya vyombo vya sheria?

..Nani alikuwa anawalinda waliotaka kumuua Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala?
 
Aisee!!

Hivi hujui Historia kiasi hiki!!??

Chamwino haikuwa na haijawahi kuwa IKULU ya hadhi ya mkoa!! Chamwino hadhi yake ni kama hadhi ya Ikulu ya Magogoni wakati wa Mwalimu hata sasa.ndivyo wainjenga nyingine

Aisee!!

Hivi hujui Historia kiasi hiki!!??

Chamwino haikuwa na haijawahi kuwa IKULU ya hadhi ya mkoa!! Chamwino hadhi yake ni kama hadhi ya Ikulu ya Magogoni wakati wa Mwalimu hata sasa.
Maana ya IKULU sio Makao Makuu. Ikulu ya Dar itaendelea kuwepo miaka yote, lakini Dar haitakuwa tena Makao makuu. Kiswahili mbona rahisi sana?
 
..hakuna uwezekano kwamba Mangula alipewa sumu na genge la Magufuli?

..kwanini wahusika hawakukamatwa na kupelekwa mbele ya vyombo vya sheria?

..Nani alikuwa anawalinda waliotaka kumuua Makamu Mwenyekiti wa Chama Tawala?
Ndio nawambia keelu nyie ni waumininwa Wachungaji. Yaani kesi ya January, Nape, Membe na Kinana isimamishwe ndani ya kamati kuu ya CCM, halafu kamati kuu hiyo ikiongozwa na Mang'ula ndio wampe sumu mwenyekiti ili iweje? Jamani hata kutumia common sense imekuwa shida?
 
Maana ya IKULU sio Makao Makuu. Ikulu ya Dar itaendelea kuwepo miaka yote, lakini Dar haitakuwa tena Makao makuu. Kiswahili mbona rahisi sana?
Hebu tuingie darasani kidogo. Ikulu ni neno la Kinyamwezi lenye kumaanisha makao Makuu ya kiongozi (Chifu) wa wanyamwezi.

Kwa Tanzania mikoani kunaitwa Ikulu ndogo kwa kuwa Rais huweza kufikia huko. Kwa Chamwino ilikuwa ni sehemu ya IKULU ya Magogoni.

Hadhi ya Chamwino haijawahi kufanana kwa mfano na IKULU ndogo ya Mwanza ama Mtwara. Chamwino ilikuwa inasimamiwa moja kwa moja na IKULU ya Magogoni. Ilikuwa ukiwa Chamwino ni sawa na kuwa Magogoni.

Historia iko hivyo na historia kwa kawaida huwa haibadilishwi kwa matakwa ya mtu.
 

..Membe si alifukuzwa uanachama?

..kwanini unadai kesi yake ilisimamishwa?

..wewe ndio hutumii common sense.

..inawezekana vipi tukio la kupewa sumu Makamu Mwenyekiti wa CCM lisichunguzwe?

..mtu mwenye uwezo wa kumpa sumu Makamu Mwenyekiti akiachwa hawezi kumpa sumu na Mwenyekiti?

..kumuacha huru mtu aliyejaribu kumuua Mzee Mangula ni kumlinda mhalifu huyo. Sasa nauliza kwanini Magufuli alimlinda aliyempa sumu Mangula?
 
IKULU - State house
MAKAO MAKUU - Captital City.. bado kipi huelewi?
Maana ya IKULU sio Makao Makuu. Ikulu ya Dar itaendelea kuwepo miaka yote, lakini Dar haitakuwa tena Makao makuu. Kiswahili mbona rahisi sana?
 
Jakakuu mkuu wangu please... Sasa kama Membe alifukuzwa, yeye aliwezaje kuzungumza na Mzee Makamba, January na Nape juu ya hatma ya Magu!

Kigumu kipi hapa nyie watu kuelewa? Haya wote walokuwa Kamati ile wametumbuliwa washtakiwa wanaji mwambafai mabega juu..
 
IKULU - State house
MAKAO MAKUU - Captital City.. bado kipi huelewi?
Umefuatilia hoja yako ilipoanzia??

Kuhamia Dodoma ndiyo ilikuwa hoja yenyewe. Mimi nimekwambia kuhamia Dodoma kumeanza tangu enzi za Mwalimu na ndiyo maana akaanzisha Ikulu ya Chamwino. Magufuli alifanya tu mwendelezo kama anavyofanya Samia kwa sasa.

Kwani unadhani Capital Development Authority (CDA) ilianzishwa ili ifanye nini kama siyo kuendeleza Makao Makuu ya nchi?

Unadhani ni kwa nini Makao Makuu ya CCM enzi za chama kimoja yalijengwa Dodoma? Hivi bunge kuhamia Dodoma unadhani ni kwa bahati mbaya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…