Ukishangaa ya jk utaona ya Heslb.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,wakati watoto kibao wa maskin wakiwa wamekosa mkopo mwaka huu,kuna rafiki yangu ambae ni mtoto wa kiöngozi mkubwa tu ktk serikali ya jk ambae alidisco chuo flan mwaka jana,lakin cha kushangaza kama co kuckitisha,huyu ndugu kaaply chuo upya na kapata mkopo.hili suala limekaaje wadau,ni kwamba heslb hawana taarifa za watu zinaowakopesha au ndo style ya kujuana?
 
Dah ndugu yangu ukifuatilia sana hili taifa utalia wakati wengine wameorodheshwa kama walishapata mikopo awali huyo anapata na ana uwezo maskin wamerudi nyumban dah inauma!
 
mmmmmmh! utayaweza haya make mwenye shida hapati huo mkopo alie na uwezo ndo anaekopeshwa wizi mkubwa
 
Hata mwaka huu yupo jamaa alidisco sua lakini ana mkopo mzuri tu!
 
kwa sheria za bodi m2 akidisco anapaswa kulipa 25% ya mkopo wa awali ili aweze kuwa eligible na kuomba mkopo upya,kwahyo huyo aliyepata lazma karudsha hyo % ndo maana kapata tena!,kuna mchz wangu aldsco mwaka jana bt kapata!
 
Back
Top Bottom