IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo..
Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke
1.ushoga
2.ubasha
3.ulawiti
4.ubakaji
5.kutembea na wake za watu.
6.kuzaa watoto na kuwatelekeza
Huku kwetu tunakokaa hawa viongozi walipewa sheria ya useja wanasifa mbaya sana ya kutembea na wake za watu.
Mwanaume aliyetimia hawezi kuwa na mwanamke mmoja,km mmoja haiwezekani VP uambiwe usioe kabisa? Tusidanganyane,haya ndio matatizo ya kufuata sheria za binadamu.
Ifikie hatua waache unafki waruhusiwe kuoa.
NB:km imekugusa pole sana acheni sheria za kibinadu.
Sent using Jamii Forums mobile app