Ukiruhusu useja jua umeruhusu ushoga.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo..

Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke
1.ushoga
2.ubasha
3.ulawiti
4.ubakaji
5.kutembea na wake za watu.
6.kuzaa watoto na kuwatelekeza
Huku kwetu tunakokaa hawa viongozi walipewa sheria ya useja wanasifa mbaya sana ya kutembea na wake za watu.

Mwanaume aliyetimia hawezi kuwa na mwanamke mmoja,km mmoja haiwezekani VP uambiwe usioe kabisa? Tusidanganyane,haya ndio matatizo ya kufuata sheria za binadamu.

Ifikie hatua waache unafki waruhusiwe kuoa.
NB:km imekugusa pole sana acheni sheria za kibinadu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo tusifuate sheria za binadamu tufuate Sharia sio?

Sharia yenyewe ni sheria za kibinadamu ndugu, sema zenyewe zimetungungwa tu na binadamu wa karne ya 7 wenye elimu na uelewa duni wa mambo mengi
 
Kama wewe hauwezi tulia. Kuna wenzio marijali, wanaweza, wameweka viapo na nadhiri na wanaziishi.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo..

Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke
1.ushoga
2.ubasha
3.ulawiti
4.ubakaji
5.kutembea na wake za watu.
6.kuzaa watoto na kuwatelekeza
Huku kwetu tunakokaa hawa viongozi walipewa sheria ya useja wanasifa mbaya sana ya kutembea na wake za watu.

Mwanaume aliyetimia hawezi kuwa na mwanamke mmoja,km mmoja haiwezekani VP uambiwe usioe kabisa? Tusidanganyane,haya ndio matatizo ya kufuata sheria za binadamu.

Ifikie hatua waache unafki waruhusiwe kuoa.
NB:km imekugusa pole sana acheni sheria za kibinadu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani Kama ushawahi kuishi japo km moja toka anapoishi padre.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yule shekhe aliye baka mtoto naye alipitia useja
Mkuu sijui unamzungumzia huyu???
Screenshot_2019-02-03-15-19-42-097_com.google.android.apps.photos.jpeg

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
HILI NI JIWE GIZANI, UKISIKIA YALAAA BASI LIMEMPATA.
Sisi wanaume,sisi wanaume Rijali,huwezi kutuzuia tusioe haiwezekani hata kidogo labda uwe na matatizo..

Na km ukifanikiwa kutuzuia mambo yafuatayo yatatoke
1.ushoga
2.ubasha
3.ulawiti
4.ubakaji
5.kutembea na wake za watu.
6.kuzaa watoto na kuwatelekeza
Huku kwetu tunakokaa hawa viongozi walipewa sheria ya useja wanasifa mbaya sana ya kutembea na wake za watu.

Mwanaume aliyetimia hawezi kuwa na mwanamke mmoja,km mmoja haiwezekani VP uambiwe usioe kabisa? Tusidanganyane,haya ndio matatizo ya kufuata sheria za binadamu.

Ifikie hatua waache unafki waruhusiwe kuoa.
NB:km imekugusa pole sana acheni sheria za kibinadu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo tusifuate sheria za binadamu tufuate Sharia sio?

Sharia yenyewe ni sheria za kibinadamu ndugu, sema zenyewe zimetungungwa tu na binadamu wa karne ya 7 wenye elimu na uelewa duni wa mambo mengi

Amri 10 alizopewa Musa
 
Back
Top Bottom