Habari za asubuhi, nilipigiwa simu na TaESA kuitwa kwenye training tangu tarehe 7/3 mwaka huu kwa bahati mbaya simu sikuisikia na sikufatilia kuangalia upande wa missed call, jana ndio nikaona iyo missed call yao, na niliiona saa moja usiku maana no zao nilizisave.
Naombeni ushauri wenu nini naweza kufanya.
Naombeni ushauri wenu nini naweza kufanya.