Huyu naye kulikoni? amepagawa pepo au!Siyo kweli
View attachment 3685903
Hahahhhhh kuna tu chafya tunanuka mkuu labda kalikua kanaipiga vyema...Umenikumbusha nina kademu changu kila kakipiga chafya kanapiga juu na chini.... Yani ile fyaaaah na kijambo hapohapo
Basi nakabembeleza na kukaambia ndio napenda hivo
Mbona nazipiga chafya "tena ya uhakika" nikiwa macho? Ila kuna kautamu unakopata baada ya chafya. Kama upo mbinguni vile!Hapana mkuu si kweli kwamba ukipiga chafya ukiwa umefungua macho unaweza kufa. Huo ni uvumi na imani potofu iliyozoeleka kwa muda mrefu
Ukihisi unataka kupiga chafya, ukiipiga haiji, unakuwa na sura ya ajabu na kuhisi kama akili haijakutendea haki. Umeshasikia huu utani? "Sura kama ya mtu aliyeshindwa kupiga chafya "Hahahhhhh umejuaje hako kautamu ka mbinguni mkuu... na haujatwaliwa?
hapo cell zinakusema lazma upige tu chafya.Mh.... mbona mimi nikiwa na dalili za homa chafya zinakuwa nyingi, au na mimi kuna members wananisema?