Ukipewa zawadi usiyoipenda utafanyaje?

Ukipewa zawadi usiyoipenda utafanyaje?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Endapo umepewa zawadi au kitu chochote ambacho hukipendi, unafanya nini ili aliyekupa zawadi asigundue hukipendi?

Mfano umepewa shati jekundu na wewe sio rangi unayoipenda.

Naombeni mawazo yenu.
 
unashukuru ukiwa na tanasamu la kupitisha chapati bila kukunja.

Afu unapotea fasta kwenda kililia chooni.

kumbuka: Mgeni hachagui mboga.

Humwambii hapohapo?? Chukulia mfano mumeo, anakuletea kitu kilekile ambacho hukipendi.
 
Nimewahi kuletewa... nakipokea tu na ahsante nyingi.... halafu kama ni mtu wa karibu baada ya siku ile kupita, siku zinazofuata naanza kujisemesha vitu nisivyovutiwa navyo.
Kile kama naweza kukitumia japo kiroho ngumu natumia, kikinishinda kabisaaa NAGAWA
 
Unapokea kwa asante nyingi na tabasamu kuuuuubwaaaaa

Halafu unaenda kiweka mbaaaaaallliiiiii

Baada ya miezi kadhaa utapata tu wa kumzawadia zawadi
 
Ipokee tu hiyo zawadi kwa moyo mkunjufu na tabasamu tele! Yategemea aliyekupa zawadi hiyo una uhusiano gani naye. Kama ni mpenzio, basi ili afurahi kwamba yap, nimemnunulia zawadi ya shati basi huna budi kulivaa hilo shati mara kadhaa angalau aridhike.
 
Unashukuru kwa zawadi.....ila baada ya muda umwambie ukweli kuwa.....kitu fulani haupendi ili asije akakileta tena siku nyingine.....
 
Umenikumbusha nimeletewa zawadi ya dela toka UK na bro wangu, kiukweli tabasamu la Kongosho sikuliweza nikamshushua hapo hapo nikamshukuru anyway. Nimefurahia mkanda tu.
Nilivuompigia mama, akanigombeza kwa ungratefulness yangu.
Yaani linachekesha, hata siwezi livaa. My priest brother is totally tasteless. I hope hatasoma hapa maana JF anaitumia kupata habari za TZ.
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha nimeletewa zawadi ya dela toka UK na bro wangu, kiukweli tabasamu la King'asti sikuliweza nikamshushua hapo hapo nikamshukuru anyway. Nimefurahia mkanda tu.
Nilivuompigia mama, akanigombeza kwa ungratefulness yangu.
Yaani linachekesha, hata siwezi livaa. My priest brother is totally tasteless. I hope hatasoma hapa maana JF anaitumia kupata habari za TZ.

Next time aniulize mumeo nimuelekeze
 
Last edited by a moderator:
Next time aniulize mumeo nimuelekeze

Nitamshauri, imagine dela la purple halafu linatereza tereza huku linang'aa. Jamani hata chumbani halifai.

Nitaligawa kwakweli.
Umenichunia mupenzi wangu, yaani Eid nimekula mwenyewe.
 
Endapo umepewa zawadi au kitu chochote ambacho hukipendi, unafanya nin ili alokupa zawadi asigundue hukipendi??
Mfano umepewa shati jekundu na wewe sio rangi unayoipenda.
Naombeni mawazo yenu.
kwan unaweza kupokea zawad ambayo uipendi kweli
 
Nitamshauri, imagine dela la purple halafu linatereza tereza huku linang'aa. Jamani hata chumbani halifai.

Nitaligawa kwakweli.
Umenichunia mupenzi wangu, yaani Eid nimekula mwenyewe.

Eid sikukuu ya Watoto..wakubwa baada ya sita stay tuned
 
Nigawie purple ya kung'aa ndo rangi niipendayo
Nitamshauri, imagine dela la purple halafu linatereza tereza huku linang'aa. Jamani hata chumbani halifai.

Nitaligawa kwakweli.
Umenichunia mupenzi wangu, yaani Eid nimekula mwenyewe.
 
Back
Top Bottom