Ukipata fursa wee piga tu

Ukipata fursa wee piga tu

Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.

Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.

Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.

Piga tu ukipata fursa.

NO MERCY!
Polepole mnafiki sana. Katika watu 5 waliokuwa na nguvu kwenye awamu ya Magufuli naye alikuwapo. Ile ndiyo awamu iliyoanzisha kuiba uchaguzi wote, kuteka na kuua wakosoaji, na uchafu mwingine wote. Eti leo hii anaongelea maadili kwenye kuengua wagombea. Pumbavu sana
 
Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.

Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.

Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.

Piga tu ukipata fursa.

NO MERCY!
NO REFORMS, NO ELECTION.
 
Kuiibia nyumba mwenzio sioshida nisawa na babausawa akupe milioni 10 kuomba kupitishwa udiwani hionipesa harali kupigwa kwakua matarajio ya mtoaji nikwenda kupiga baadaye hivyo akipigwa nisawatu.hapo kwapolepole yeanaonakabisa kipofu anaibiwa waziwazi hiosiosawa kiukweri ccm wameipindisha katiba yao wenyewe cc hatunabudi kulalamika walalamike wenyewe sisi nikuona mtifuano hapowatamwaga mboga wengi
 
Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.

Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.

Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.

Piga tu ukipata fursa.

NO MERCY!
Giza halifukuzi giza, ni nuru tu inayoweza kufukuza giza. Kama unachukizwa na wizi, rushwa na dhulma anza kwakujitenga wewe na vitendo hivyo ili wengine waone mfano wako.
 
Mkuu hiyo sehemu ya upigaji uliyo pata nishilikishe basi
Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.

Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.

Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.

Piga tu ukipata fursa.

NO MERCY!
 
Hayo mambo yapo unyanini na yamehalalishwa kisheria

#Tokamagetonitwendeviwanjani
#usikubalikufaunyanini

NO MERCY
 
Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.

Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.

Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.

Piga tu ukipata fursa.

NO MERCY!
Nani alitoa TZS 200,000,000.00?
 
Back
Top Bottom