Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,308
- 4,209
Mungu akikujalia ukipata fursa ya upigaji wee piga tu. Hii nchi Kila mtu ni mwizi Katika nafasi Yake.
Ila usidhulumu nafsi. Pia usiwe mchoyo washirikishe pia wengine kwenye upigaji.
Polepole alikula Sana million 200 za wajumbe alipokuwa katibu Mwenezi eti atawasaidia kuwapitisha majina yao. Leo eti anahubiri uadilifu.
Piga tu ukipata fursa.
NO MERCY!