GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
Week hii jamiiforums imekuwa na wachangiaji wengi sana, kila mtu yupo makini kupata taarifa muhimu za hapa na pale na episode kadhaa zinazoendelea nchini, matusi hayatakiwi na lugha za kuwaudhi mods ukipigwa ban utakosa mengi, ban ikiisha inshu ya madawa nayo itakuwa ishaishaaa kuwa makini ili hii movie uenjoy.