Ukiona umeenda zaidi ya 3

Yaani utapararaizi vibaya aloooh....
Niulize mimi😅😅🙌🙌
 
[emoji23][emoji23]
 
Approaching to the TRUTH
 
Huwezi mlizisha binadamu mwingne
Jilizishe wewe inatosha ukiweza piga kamoja dakika5 piga izo izo ukimalza vaa sepa
Mambo ya kutaka kuwalizisha wanawake apo ndo tunapoanza kufeli
Unatakiwa umlizishe mke wako nyumban tu hao wengne lizika ww inatosha
 
Inferiority complex inatutesa mkuu.
Ni kwamba anahisi uwezo hana hivyo ili kujilinda inabidi aaminishe umma kua iwezo anao, hata kama hatumjui basi tu anataka asifiwe walau roho yake itulie.
 
Mwanamke Kama humpi hela ukixidisha round Moja atakwambia unamkomoa😂
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Kuna uzi unahusu maendeleo ya nchi jamani tukachangie na kule.
Kuna uzi wa kuomba ushauri wa biashara x nimeuweka kule jukwaani. Ni wiki sasa, uzi una reply moja. Tena yenyewe ni ya "Ngoja waje", ila ukiongelea mbususu tu, watu wanamiminika kama mvua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…