Hata najua basi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 2,180
- 4,423
Wapigaji watapiga au watapigana?Lea watoto, wakifika legal age, wachukue. Usimtelekeze mwanamke na watoto. Hudumia watoto yeye waachie wapigaji, waendelee kupiga.
Wapigaji watapiga au watapigana?Lea watoto, wakifika legal age, wachukue. Usimtelekeze mwanamke na watoto. Hudumia watoto yeye waachie wapigaji, waendelee kupiga.
Ndiyo Unakua unalipia gharama za kuzaa nae kabla hujaoa.Vp ikiwa tayar ushazaa naye ila hujaoa ndo unagundua hizi tabia mbovu....
Wapigaji watapiga au watapigana?
Hapo ndo vzr unapiga chini unafunga ndoa na mwingineVp ikiwa tayar ushazaa naye ila hujaoa ndo unagundua hizi tabia mbovu....
Umesema jamaa amuache ili wapigaji wajipigie ukiwa na maana wanaume watakua wanaichapa kwa kusema wapigaji wajipigie na mie nikakuuliza wapigaji au watapigana ?Hakuna watu wenye akili timamj wanapigana kisa mwanamke siku hizi, labda washamba na wakuja.
Umesema jamaa amuache ili wapigaji wajipigie ukiwa na maana wanaume watakua wanaichapa kwa kusema wapigaji wajipigie na mie nikakuuliza wapigaji au watapigana ?
Mkuu, sidhani kwa namna ulivyoifafanua wewe ndiyo muktadha halisi wa mwandishi!No 90 izingatiwe zaidi
Mambo ya Sikupi mpaka ufanye hiki au sikupi mpaka unioe, ukiikubali utateseka huko ndoani
Huku tunapoenda ndoa zitakua zinahesabikaNdiyo Unakua unalipia gharama za kuzaa nae kabla hujaoa.
Dumisha lengo 🤣🤣🤣It rains everywhere you go...
Hapo safi nilikua nashangaa why mmoja ndio apigwe 😁Waendelee "kupigana" ndio. 😁
Hapo safi nilikua nashangaa why mmoja ndio apigwe 😁
Zikipigwa pande zote hapo saafi
Umepiga pale pale kwenye mshono. Miaka ya nyuma niliamua kuishi na mwanamke mmoja ambaye alikuwa karibu na hizi red flags zote ulizoziorodhesha..... hali ilikuwa mbaya. Utaomba dunia ikumeze. Yaani hizi dalili kila kijana wa kiume anatakiwa azijue na ahakikishe amezichunguza zote.UKIONA REDFLAGS HIZI USIOE 🚩
Sio kila anayekupenda anafaa kuwa mke wako, Wengine ni majaribu ya maisha.
Kabla hujaoa, fungua macho yako vizuri 👇
1. Hana tabia ya kukubali makosa
Kila kitu ni kulaumu wengine(sababu kibao)… hana “samahani” ya kweli.
2. Anatafuta attention kwa wanaume wengine
Akikosa validation, anahangaika… huyu hataridhika kirahisi.
3. Ana historia ya mahusiano mengi yaliyoshindikana
Sio bahati mbaya… ni pattern. ukijitia mjuaji utakasikia
4. Hana heshima kwa wanaume
Leo anawadharau wengine, kesho ni zamu yako.
5. Ana mood swings za kupindukia
Leo anakupenda, kesho anakuchukia… ndoa itakuwa vita ya hisia.
6. Hana self-control
Anaishi kwa tamaa na hisia, sio akili.
7. Hana mwelekeo wa maisha
Hajui anataka nini… na wewe utapotea naye.
8. Maisha yake ni drama kila siku
Kila mtu ana tatizo naye… utakuwa next.
9. Anatumia mapenzi kama silaha
Anakupa au anakunyima ili akudhibiti. Atakuendesha
10. Hana misingi ya maadili
Anafuata utandawazi, sio principles.
Kama hakuheshimu… hata kama anakupenda, ONDOKA.
Upendo unaweza kukuingiza kwenye ndoa…
Lakini tabia ndio itaamua kama utaishi kwa amani au mateso.
Chagua kwa akili, sio hisia.
✍️Abuuabdillah
Hee... kwani hujui ukikutana na mnyama simba unafanya nini? Miguu ina kazi gani? Ndiyo... watoto wanaweza kuwa kikwazo ila njia nzuri sana ni kuwachukuwa wewe uishi nao. Ukimwachia watoto wanawake wa aina hiyo watakunyoosha.Vp ikiwa tayar ushazaa naye ila hujaoa ndo unagundua hizi tabia mbovu....
Ndo maana watu wanashauri kuwa makini sana na mtu kuzaa naye na hii ni kote kote mwanaume au mwanamkeHee... kwani hujui ukikutana na mnyama simba unafanya nini? Miguu ina kazi gani? Ndiyo... watoto wanaweza kuwa kikwazo ila njia nzuri sana ni kuwachukuwa wewe uishi nao. Ukimwachia watoto wanawake wa aina hiyo watakunyoosha.
Swala la mahusiano tena kufikia hatua ya kupata mtoto pamoja inatakiwa umakini coz unaweza kuzaa na shetani ukaishia kujuta maisha yako yoteNdo maana watu wanashauri kuwa makini sana na mtu kuzaa naye na hii ni kote kote mwanaume au mwanamke
Flexible, Flexibility.Dumisha lengo 🤣🤣🤣
Achana nae utajua mnapangaje kwenye malazi sio lazima uoe eti kwasababu umezaa nae maana maisha ya ndoa ni zaidi ya hivyoVp ikiwa tayar ushazaa naye ila hujaoa ndo unagundua hizi tabia mbovu....