Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,042
- 1,308
UKIONA REDFLAGS HIZI USIOE 🚩
Sio kila anayekupenda anafaa kuwa mke wako, Wengine ni majaribu ya maisha.
Kabla hujaoa, fungua macho yako vizuri 👇
1. Hana tabia ya kukubali makosa
Kila kitu ni kulaumu wengine(sababu kibao)… hana “samahani” ya kweli.
2. Anatafuta attention kwa wanaume wengine
Akikosa validation, anahangaika… huyu hataridhika kirahisi.
3. Ana historia ya mahusiano mengi yaliyoshindikana
Sio bahati mbaya… ni pattern. ukijitia mjuaji utakasikia
4. Hana heshima kwa wanaume
Leo anawadharau wengine, kesho ni zamu yako.
5. Ana mood swings za kupindukia
Leo anakupenda, kesho anakuchukia… ndoa itakuwa vita ya hisia.
6. Hana self-control
Anaishi kwa tamaa na hisia, sio akili.
7. Hana mwelekeo wa maisha
Hajui anataka nini… na wewe utapotea naye.
8. Maisha yake ni drama kila siku
Kila mtu ana tatizo naye… utakuwa next.
9. Anatumia mapenzi kama silaha
Anakupa au anakunyima ili akudhibiti. Atakuendesha
10. Hana misingi ya maadili
Anafuata utandawazi, sio principles.
Kama hakuheshimu… hata kama anakupenda, ONDOKA.
Upendo unaweza kukuingiza kwenye ndoa…
Lakini tabia ndio itaamua kama utaishi kwa amani au mateso.
Chagua kwa akili, sio hisia.
✍️Abuuabdillah