bila shaka hao wenye ndala/yeboyebo ni watoto wa mwalimu au mwenyekiti wa kijijihii kitu madam nyamchele ilikuwa ni raw matreial ya kutengenezea Magari ya bati pia(watoto na vijana). Huwezi kukuta hili kopo jalalani kirahisi.
la pili kushoto
iko chungu tulkua tunawekea loshoro au mtindi,kabla ujaenda skuli unakunywa kwanza loshoro ndio uende skuli
Dar ni adimu mkuuMbona mpaka leo tunatumia vyote?
Hizi ni kanda sio cd lakiniView attachment 333342
Bolingo kavasha msondo ngoma zote zilihifadhiwa kwenye hizo CD !!
Yani kijiradio chetu kilikuwa kinatafuna sana kanda, nikishaona imeharibika narudisha kwenye kasha lake nakaa kimyaaaaaa, lakini wakirudi wanajua tu kuwa ni Mimi... Utoto raha sanaaaView attachment 333342
Bolingo kavasha msondo ngoma zote zilihifadhiwa kwenye hizo CD !!
Mshana jr ...Umenikumbusha mbali sana enzi za upendo umetawala familia. Maji mtungini kikombe kimoja watu tunashea tu mambo ya extended family chakula kinapakuliwa kwenye sinia halafu mnaweka kwa makundi kulingana na umri mnakula pamoja. Maji ya kunywa yamejazwa kwa jagi ila kikombe ni kimoja hahahahaa hahhaa na wala hakuna alieona kinyaa wala kuambukiza kitu.
Kibatari/koroboi hahaha enzi hizo kulikua na watu wanapita mitaani wakusanya makopo ya dawa ya mtu au juisi za makopo, mna badilishana ww unapewa pipi kidonge moja kwa kopo moja au gulbiti hahaha haha daah
Cherehani ya singer maza alikua anatushonea saana nguo sare sare kutambaa kibaki anashona "pichu".
Kulikuwa na Tanbond pia. Haha hahaa those sweet memories
Uzi ukitoka tunaunganisha makasha mawili ya kibiriti huku na kule,Yani kijiradio chetu kilikuwa kinatafuna sana kanda, nikishaona imeharibika narudisha kwenye kasha lake nakaa kimyaaaaaa, lakini wakirudi wanajua tu kuwa ni Mimi... Utoto raha sanaaa
hebu tupia picha zake hicho king'ong'o tukione!Yani kijiradio chetu kilikuwa kinatafuna sana kanda, nikishaona imeharibika narudisha kwenye kasha lake nakaa kimyaaaaaa, lakini wakirudi wanajua tu kuwa ni Mimi... Utoto raha sanaaa