Ukiona Picha hii Unajisikiaje?

Majadiliano hayajawahi kuwa na mwisho mbaya , wala hakuna haja ya kuyaogopa
Mwisho nitabaki nacheka tu kadri tunavyosogea mbele.

Lakini tusitoke nje ya mada, kwani tunapotea njia.
Hichilema naye alitegemea hisani za chama cha Dkteta Lungu kumwezesha kuchukua serikali?

'Seriously' mkuu Erythrocyte, hapa watu wenye uwezo mkubwa wa kuchambua mambo bado hamuoni tatizo kabisa?

Sasa hata watu ambao tusingetegemea kabisa, wanasema kutapatikana "win-win" kwa chama chao kujipachika kwa hao hao waliowatia hash hash!

Watu wakianza kusema CHADEMA nao ni "walewale" watakuwa wanakosea?

Mwenyekiti kawaingiza chaka, tena chaka bovu kabisa. Natumaini patakuwepo na viongozi ndani ya chama hicho watakaostuka na kukataa uhayawani huu unaopangwa kufanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…