Ukiona nini huwa unakumbuka nini? Mimi naanza....

Ukiona nini huwa unakumbuka nini? Mimi naanza....

Nikiona mtu amevaa Kaunda suti namkumbuka mwl mkuu wa shule ya msingi niliyosoma.
 
nikimuona KRIS LUKOSI nakumbuka nilivyokua namshurutisha combania CCP Moshi
 
Back
Top Bottom