MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
Unajua vijana mnapokosea kwanza hioz ni hayo majina manyoitana "Baby" yanatoa connotation meaning
ya kitu ambacho bado hakija komaa kifikra, wewe huwezi kumuita mtu mzima mwenye nywele hadi huko maeneo "Baby"
Pili , ninyinnyote mnaonekana bado hamjaamua kuwa pamoja au mnapimana , hivyo mvumiliane kwanza .