Ukiona mwanaume analia ujue kaguswa pabaya

Siku hizi hawa wadada ni hatari, mnaweza kupangwa hata watatu. Sijui wamepatwa na nini?
 
Mama wa baby wako anakujua?!! Km hujulikani na mwenzio Abdu anajulikana,kubali yaishe. Achia ngazi tafuta usajili mpya
 
Nimefatilia sana, nimeambiwa Abdu alitangaza uchumba lakini hakupeleka barua wala nini. Na mama yake anasema alikuwa anaomba sana mwanae asijihusishe na Abdu maana ni mchafuzi. Hii ni kwa mujibu wa couzin wangu ambaye alinitafutia huyu binti.
 
Kumbe tayari majibu unayo,hapo tatizo ni bibie mwenyewe bado hajamuacha Abdu. Alipenda na kwa vyovyote vile Abdu kuna kitu anacho kizur zaid yako ndio maana ngumu kuachwa. Jiongeze kaka
 
Pole,ila hata nyie si hua mnatupanga hata watano ili muangalie yupi ni wife material?sisi tukiwa nao japo wawili tupime yupi husband material inauma enh?kama wewe ni msafi hujawahi mcheat muache lkn km na wewe kuna mda hua unaenda kuonja mboga kwa jirani tulia tu mradi uwe na uhakika kua wewe ndo njia kuu sio mchepuko.
 
Sijawahi cheat hata kidogo. Labda niseme nilimcheat kabla sijawa nae
 
Back
Top Bottom