Ukiona mwanaume analia ujue kaguswa pabaya

Ukiona mwanaume analia ujue kaguswa pabaya

Mkuu inabidi uwe likizo kidogo katika tendo, ila mengineyo unaweza kuprovide kama kawa, ili kuepuka kugundulika na kuharibu uchunguzi.

Sawa mkuu. Itanibidi kufanya hivyo. Bila shaka nitapata majibu na kuleta mrejesho
 
ahhhhhhhhhhhaa kula ngumu komaa nae, ila husimwamini mwamini sana kivile. ipo siku atakuja kwenye njia zako. mademu wa siku hizi ni ugonjwa wa moyo karibia wote.
 
To myself kuwakutanisha haina maana, maana huyo mwanamke anakataa, mume mchepuko anakubali hapo ni sawa na kuzidisha controversals.

Dada mtumishi hebu njoo hapa, tupate busara zako Heaven Sent

Basi hapo nikuchunguza kimya kimya, na kutake risk ya kuendelea kumuhudumia kama kawaida lakini kusitisha lile tendo la kikubwa ili kubaki salama and let the time tell.
Asante kwa kumuita Heaven Sent nae tupate busara zake

Daah kaka mtumishi sumbai unanipa cheo hichooo Mmh. juakal nahisi una evidence 2 tatu but moyo wako umekuwa mzito kuamini ukweli, I guess hutaki kuachana na baby wako maskini. Unaweza ukamtafuta abdu afu ongea naye (man to man) ili afunguke ujue ukweli, ila msifight tuu. Au unaweza ukaact as if umepotezea ( ni ngumu mwee), huku unaendelea kuwafatilia kimya kimya. Ulivyochukua hiyo simu hukuona texts za mahaba mahaba?

Unaweza ukaamua kusamehe tu afu yakapita, tatizo utakuwa huna uhakika moyoni mwako kama wewe ndo main road au mchepuko. Hapo ndo patakapo kunyima amani
 
Last edited by a moderator:

Nlijua tuu, lazima uteme madini...
Dadamtumishi
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa mimi, hatua ya kwanza ningemtimua kwangu ili nisije nikamtifua tifua maana maelezo ya bwana Abdu yamekaa kama genuine vile. Akiwa huko mbali ndo unaanza kureconsider kila option uliyonayo.

Akiwa karibu mzee lazima utatafuna tu na ndo atakuwa ashakujulia namna ya kukutengeneza, na huyo co-husband atafichwa hutamuona tena. Huyo mwanamke anatakiwa atikiswe hata akirudi aone anaishi kwenye second chance sio unakuwa softi softi tu bana
 
Yes kwavile ni mtu ambae kwa namna moja au nyingine nimekuwa nae kwa muda kabla sijafanya chochote lazima nifanye critical investiagation. Kama mtu ushafikia hatua ya kuweka malengo sio vema kumwacha kirahisi....

Hapo vizuri unajua bwana kwa case yake huyu mtoa mada namshaur awe mpole huku akitafta la kufanya na if n huo ushahidi apate ulio strong
 
Wakuu nisiwachoshe, iko hivi:

Leo wakati nko na beiby wangu nayemwamini sana na nliekuwa na malengo ya kumfanya mke wangu, gafla simu yake ikaita kucheki jina ni Abdu ( kama yupo humu atakuwa shahidi), baby akapokea huyo abdu sijui alikuwa anaomba namba ya nani, sikufatilia zaidi.

Badae kidogo abdu akapiga tena, wakaongea kidogo,, sikufatilia. Baada ya muda akapiga tena, baby hakupokea, ndo Abdu akazidi kupiga kama missed call 7 hivi.
Ikabidi nimlazimishe baby apokee, akagoma nikamwambia mimi napokea, hapo ndo ukawa ugomvi sasa. Nikachukua simu kuchek call record nikakuta amejaa Abdu tangu siku za nyuma.

Abdu alivyozidi kupiga nikapokea, akauliza wewe ni nani? Nikamwambia mimi ni Flani na mwenye simu niko nae mbona unasumbua sana?
Akasema huyo ni demu wangu niko naye kama mwaka na nusu hadi mama yake ananifahamu, akanieleza kuwa hata jana walikuwa wote akamuomba nauli anaenda kumuona babu yake ( na kweli hiyo safari alikuwa nayo hata mimi aliniomba nauli nikamtumia).
Akazidi kusisitiza kuwa hata jana jioni alikuwa naye na aliona tunachat akawa amepotezea.

Baada ya hapo mtu mzima kijasho kikachuruzika mgongoni, na huyu baby akajitetea hivi:
Akasema huyu mtu alikuwa anamfatilia mda sana akamkataa sasa huwa anasumbua sana.
Akadai kuwa alikataa kunipa niongee naye kwa sababu alijua tu atamsingizia vitu ambavyo si vya kweli.

Ikabidi nimnyanganye baby simu ili niende nayo alaf nimrudishie j3 ila badae nikaamua kumrudishia.

Hadi sasa sijachukua uamuzi wowote, ila najua penye wengi hapakosi busara. Naombeni ushauri ndugu zangu maana ghafla kichwa changu kimekuwa kidogo sana,

Duuu...!!!!! Wewe jamaa boya kweli sasa hapo unataka ushaidi gani? Ni hivi acha uboya piga tafuta mwingine na huyo umfungie vioo, NO calls NO text mpaka mwisho wa dunia

Wakuu nisiwachoshe, iko hivi:

Leo wakati nko na beiby wangu nayemwamini sana na nliekuwa na malengo ya kumfanya mke wangu, gafla simu yake ikaita kucheki jina ni Abdu ( kama yupo humu atakuwa shahidi), baby akapokea huyo abdu sijui alikuwa anaomba namba ya nani, sikufatilia zaidi.

Badae kidogo abdu akapiga tena, wakaongea kidogo,, sikufatilia. Baada ya muda akapiga tena, baby hakupokea, ndo Abdu akazidi kupiga kama missed call 7 hivi.
Ikabidi nimlazimishe baby apokee, akagoma nikamwambia mimi napokea, hapo ndo ukawa ugomvi sasa. Nikachukua simu kuchek call record nikakuta amejaa Abdu tangu siku za nyuma.

Abdu alivyozidi kupiga nikapokea, akauliza wewe ni nani? Nikamwambia mimi ni Flani na mwenye simu niko nae mbona unasumbua sana?
Akasema huyo ni demu wangu niko naye kama mwaka na nusu hadi mama yake ananifahamu, akanieleza kuwa hata jana walikuwa wote akamuomba nauli anaenda kumuona babu yake ( na kweli hiyo safari alikuwa nayo hata mimi aliniomba nauli nikamtumia).
Akazidi kusisitiza kuwa hata jana jioni alikuwa naye na aliona tunachat akawa amepotezea.

Baada ya hapo mtu mzima kijasho kikachuruzika mgongoni, na huyu baby akajitetea hivi:
Akasema huyu mtu alikuwa anamfatilia mda sana akamkataa sasa huwa anasumbua sana.
Akadai kuwa alikataa kunipa niongee naye kwa sababu alijua tu atamsingizia vitu ambavyo si vya kweli.

Ikabidi nimnyanganye baby simu ili niende nayo alaf nimrudishie j3 ila badae nikaamua kumrudishia.

Hadi sasa sijachukua uamuzi wowote, ila najua penye wengi hapakosi busara. Naombeni ushauri ndugu zangu maana ghafla kichwa changu kimekuwa kidogo sana,

simple mkuu. nyote mmemtumia, na anatumia time kuwachezea vichwa. chukua no za msela, mpigie mfanye appointment kwa siri bila demu kujua. na mmoja kati yenu, amshawish kutoka out, then mwingine awakute hapo.

pigeni story kama marafiki, halafu aliyetoka naye amtambulishe kwa rafiki kuwa huyu ni mchumba wangu, then baada ya muda naye aseme nami ni mchumba wangu.

baada ya hapo, mwambieni achague mmoja kati yenu, atakayechahuliwa ndo aamue kuwa naye au kutosa. kazi kwisha.

nb. mie na rafiki yangu tulitumia demu mmoja, baadae mie nikagundua. akiaga anaenda kwa bibi, basi yuko kwa jamaa anasuguliwa, na akiaga yuko kwa babu yuko kwangu anasuguliwa.

nilipogundua, nikamshauri rafik yangu, aje nyumbani, akaja na siku hiyo nilimwita huyo binti, jamaa kufika, na siku hiyo mi ndo nilipika, kwanza hakula chakula, baada ya kula ss, nikamtambulisha na yeye baadae akasema kumbe huku ndo kwa babu huwa unaniaga?

alilia sana akatuona hatufai. wote tulitangaza kumwacha japo kila mtu alitangaza kumwachia mwenzake. naye akimpigia jamaa anasema mie ndo nilikuwa namtafta lkn alikataa, skipiga kwangu anasema hivohivo kuwa jamaa alimtaka lkn alikua amegoma.

wanawake sio watu
 
Kesi za hivi huwa hazihitaji ushauri, we jipe muda hasira na maumivu yapungue ufanye uamuzi....umuache au usamehe maisha yaendelee
Humu watu watakuambia huyo dem hafai, msaliti muache, kumbe wao nao jana usiku wamefumania na hawajawaacha....fata moyo wako
 
Gelofriend hii man to man huwa haisaidii kitu, hata wakiita na press conference mwisho wa siku msemaji na muamuzi ni mwanamke

Teh hiyo ni kama ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu, itamuongezea evidences. Ingawa inaonekana mtoa mada hataki kuachana na baby. Ndo maana Nikasema anaweza hata kupotezea pia, tatizo sasa atakuwaje na uhakika kama yeye ndo njia kuu?
 
Ngumu saana, but ningetafuta ushahidi wa kutosha kabla ya kufanya maamuzi

Mr sumbai katika ubora wake!

Kuna siku babaangu alitoka nduki na mimi huku kabeba lifimbo fulani hivi, sasa alivyoona namzidi speed ikambidi alirushe. Sasa mimi nilivyoliona nikakwepa alafu nikalichukua nikamtishia kama nalirusha..... Ghafla akajificha nyuma ya mwembe, nikamwambia kumbe na wewe unaogopaee?
 
Pole mkuuu aretasludovick , hiyo siku ulipata mtihan ha ha haa..
 
Last edited by a moderator:
To be frank..am a man like you, ila kumpata mwanamke who is totally cream ni ngumu kama ilivyo kumpata mwanaume ambaye is cream..na hii yote ndio uleta maana ya kuwa sisi ni binadamu na sio malaika..trust me..its real pain,ila chakufanya huyo inabidi akili kosa,hapo hamna kwamba alikuwa anamfatilia wala nini..the fact the guy is in touch na ratiba yake,fahamu kunakitu kinaendelea wasichana huwa hawana calture ya kushare ratiba zao na mwanaume unless they are too close to them,so mwambie akili kosa aombe msamaha..ikibidi mpatie namba nyingine,nampe second chance kama atakili na kukuomba msamaha kinyume na hapo huyo binti atakuwa mpigaji..nawe utakuwa huru kuanza maisha mengine na mtu mwingine
 
Kesi za hivi huwa hazihitaji ushauri, we jipe muda hasira na maumivu yapungue ufanye uamuzi....umuache au usamehe maisha yaendelee
Humu watu watakuambia huyo dem hafai, msaliti muache, kumbe wao nao jana usiku wamefumania na hawajawaacha....fata moyo wako

Kweli kabisa, hata mimi nadhan kutokana na maelezo ya huyu bwana inaonekana stil she love her for real, na pia naona bado kabisa ananafasi ya kusamehe na kusahau hilo na kuhakikisha lengo lake linatimia,

Naiona nafasi ya huyu jamaa kutatua hilo swala bila kuathiri uhusiano na huyo girlfriend wake, na kufanya huyo girlfriend ajutie kosa na kujirekebisha...

Mkuu juakal, narudia tena jipe muda na tumia hekima ya kibinadamu kudeal na hilo swala kama walivyokwisha kusema wengine, angalia mlipotoka na mnapoenda, then fanya maamuzi....
 
Daah kaka mtumishi sumbai unanipa cheo hichooo Mmh. juakal nahisi una evidence 2 tatu but moyo wako umekuwa mzito kuamini ukweli, I guess hutaki kuachana na baby wako maskini. Unaweza ukamtafuta abdu afu ongea naye (man to man) ili afunguke ujue ukweli, ila msifight tuu. Au unaweza ukaact as if umepotezea ( ni ngumu mwee), huku unaendelea kuwafatilia kimya kimya. Ulivyochukua hiyo simu hukuona texts za mahaba mahaba?

Unaweza ukaamua kusamehe tu afu yakapita, tatizo utakuwa huna uhakika moyoni mwako kama wewe ndo main road au mchepuko. Hapo ndo patakapo kunyima amani

Asante mkuu, itabidi kwanza nimpigie simu tuongee vizuri baada ya hapo nitapata picha niendelee vipi. Bado nimepigwa ganzi hadi leo
 
Last edited by a moderator:
Huu mfano unaonyesha kuwa wakati baba ananikimbiza alikuwa hakumbuki kuna kukimbizwa pia.
Hayajakukuta ndio maana unamshauri msela afanye uchunguzi 😀

Mkuu,
Jambo kama hilo liliwah kutokea ila ni kwa kesi ambayo sikuwa nimesha do naye maika mingi iliyopita, so itwas simple tuu
Una relax na kutake decision,
 
Back
Top Bottom