mkuu wa vilaza
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 192
- 85
Jinyonge
uwezi kuwa serious
Jinyonge
simple mkuu. nyote mmemtumia, na anatumia time kuwachezea vichwa. chukua no za msela, mpigie mfanye appointment kwa siri bila demu kujua. na mmoja kati yenu, amshawish kutoka out, then mwingine awakute hapo.
pigeni story kama marafiki, halafu aliyetoka naye amtambulishe kwa rafiki kuwa huyu ni mchumba wangu, then baada ya muda naye aseme nami ni mchumba wangu.
baada ya hapo, mwambieni achague mmoja kati yenu, atakayechahuliwa ndo aamue kuwa naye au kutosa. kazi kwisha.
nb. mie na rafiki yangu tulitumia demu mmoja, baadae mie nikagundua. akiaga anaenda kwa bibi, basi yuko kwa jamaa anasuguliwa, na akiaga yuko kwa babu yuko kwangu anasuguliwa.
nilipogundua, nikamshauri rafik yangu, aje nyumbani, akaja na siku hiyo nilimwita huyo binti, jamaa kufika, na siku hiyo mi ndo nilipika, kwanza hakula chakula, baada ya kula ss, nikamtambulisha na yeye baadae akasema kumbe huku ndo kwa babu huwa unaniaga?
alilia sana akatuona hatufai. wote tulitangaza kumwacha japo kila mtu alitangaza kumwachia mwenzake. naye akimpigia jamaa anasema mie ndo nilikuwa namtafta lkn alikataa, skipiga kwangu anasema hivohivo kuwa jamaa alimtaka lkn alikua amegoma.
wanawake sio watu
Wakuu nisiwachoshe, iko hivi:
Leo wakati nko na beiby wangu nayemwamini sana na nliekuwa na malengo ya kumfanya mke wangu, gafla simu yake ikaita kucheki jina ni Abdu ( kama yupo humu atakuwa shahidi), baby akapokea huyo abdu sijui alikuwa anaomba namba ya nani, sikufatilia zaidi.
Badae kidogo abdu akapiga tena, wakaongea kidogo,, sikufatilia. Baada ya muda akapiga tena, baby hakupokea, ndo Abdu akazidi kupiga kama missed call 7 hivi.
Ikabidi nimlazimishe baby apokee, akagoma nikamwambia mimi napokea, hapo ndo ukawa ugomvi sasa. Nikachukua simu kuchek call record nikakuta amejaa Abdu tangu siku za nyuma.
Abdu alivyozidi kupiga nikapokea, akauliza wewe ni nani? Nikamwambia mimi ni Flani na mwenye simu niko nae mbona unasumbua sana?
Akasema huyo ni demu wangu niko naye kama mwaka na nusu hadi mama yake ananifahamu, akanieleza kuwa hata jana walikuwa wote akamuomba nauli anaenda kumuona babu yake ( na kweli hiyo safari alikuwa nayo hata mimi aliniomba nauli nikamtumia).
Akazidi kusisitiza kuwa hata jana jioni alikuwa naye na aliona tunachat akawa amepotezea.
Baada ya hapo mtu mzima kijasho kikachuruzika mgongoni, na huyu baby akajitetea hivi:
Akasema huyu mtu alikuwa anamfatilia mda sana akamkataa sasa huwa anasumbua sana.
Akadai kuwa alikataa kunipa niongee naye kwa sababu alijua tu atamsingizia vitu ambavyo si vya kweli.
Ikabidi nimnyanganye baby simu ili niende nayo alaf nimrudishie j3 ila badae nikaamua kumrudishia.
Hadi sasa sijachukua uamuzi wowote, ila najua penye wengi hapakosi busara. Naombeni ushauri ndugu zangu maana ghafla kichwa changu kimekuwa kidogo sana,
Kesi za hivi huwa hazihitaji ushauri, we jipe muda hasira na maumivu yapungue ufanye uamuzi....umuache au usamehe maisha yaendelee
Humu watu watakuambia huyo dem hafai, msaliti muache, kumbe wao nao jana usiku wamefumania na hawajawaacha....fata moyo wako
Wakuu nisiwachoshe, iko hivi:
Leo wakati nko na beiby wangu nayemwamini sana na nliekuwa na malengo ya kumfanya mke wangu, gafla simu yake ikaita kucheki jina ni Abdu ( kama yupo humu atakuwa shahidi), baby akapokea huyo abdu sijui alikuwa anaomba namba ya nani, sikufatilia zaidi.
Badae kidogo abdu akapiga tena, wakaongea kidogo,, sikufatilia. Baada ya muda akapiga tena, baby hakupokea, ndo Abdu akazidi kupiga kama missed call 7 hivi.
Ikabidi nimlazimishe baby apokee, akagoma nikamwambia mimi napokea, hapo ndo ukawa ugomvi sasa. Nikachukua simu kuchek call record nikakuta amejaa Abdu tangu siku za nyuma.
Abdu alivyozidi kupiga nikapokea, akauliza wewe ni nani? Nikamwambia mimi ni Flani na mwenye simu niko nae mbona unasumbua sana?
Akasema huyo ni demu wangu niko naye kama mwaka na nusu hadi mama yake ananifahamu, akanieleza kuwa hata jana walikuwa wote akamuomba nauli anaenda kumuona babu yake ( na kweli hiyo safari alikuwa nayo hata mimi aliniomba nauli nikamtumia).
Akazidi kusisitiza kuwa hata jana jioni alikuwa naye na aliona tunachat akawa amepotezea.
Baada ya hapo mtu mzima kijasho kikachuruzika mgongoni, na huyu baby akajitetea hivi:
Akasema huyu mtu alikuwa anamfatilia mda sana akamkataa sasa huwa anasumbua sana.
Akadai kuwa alikataa kunipa niongee naye kwa sababu alijua tu atamsingizia vitu ambavyo si vya kweli.
Ikabidi nimnyanganye baby simu ili niende nayo alaf nimrudishie j3 ila badae nikaamua kumrudishia.
Hadi sasa sijachukua uamuzi wowote, ila najua penye wengi hapakosi busara. Naombeni ushauri ndugu zangu maana ghafla kichwa changu kimekuwa kidogo sana,
Ungekua WW ungeweza
Jinyonge
To be frank..am a man like you, ila kumpata mwanamke who is totally cream ni ngumu kama ilivyo kumpata mwanaume ambaye is cream..na hii yote ndio uleta maana ya kuwa sisi ni binadamu na sio malaika..trust me..its real pain,ila chakufanya huyo inabidi akili kosa,hapo hamna kwamba alikuwa anamfatilia wala nini..the fact the guy is in touch na ratiba yake,fahamu kunakitu kinaendelea wasichana huwa hawana calture ya kushare ratiba zao na mwanaume unless they are too close to them,so mwambie akili kosa aombe msamaha..ikibidi mpatie namba nyingine,nampe second chance kama atakili na kukuomba msamaha kinyume na hapo huyo binti atakuwa mpigaji..nawe utakuwa huru kuanza maisha mengine na mtu mwingine
Kweli kabisa, hata mimi nadhan kutokana na maelezo ya huyu bwana inaonekana stil she love her for real, na pia naona bado kabisa ananafasi ya kusamehe na kusahau hilo na kuhakikisha lengo lake linatimia,
Naiona nafasi ya huyu jamaa kutatua hilo swala bila kuathiri uhusiano na huyo girlfriend wake, na kufanya huyo girlfriend ajutie kosa na kujirekebisha...
Mkuu juakal, narudia tena jipe muda na tumia hekima ya kibinadamu kudeal na hilo swala kama walivyokwisha kusema wengine, angalia mlipotoka na mnapoenda, then fanya maamuzi....
Kweli mkuu, ukweli ni kwamba I still love her but I can take any decision. Naona na mwanaume mwenzangu alichanganyikiwa maana hata simu yake haipatikani tena tangu yalipotokea haya
Yah Ningeweza Sana Tena Sana Tu. Tena Kwa Urahisi Mwulize Maswali Haya:
1.Kati Yangu Na Abdu Nani Anaekufikisha Kileleni Kirahisi?
2.Kati Yangu Na Abdu Nani Ambae Unamchuna Kirahis?
3.Kati Yangu Na Abdu Nani Anakubalika Zaidi Kwenu?
4.Kati Yangu Na Abdu Nani Unajisikia Raha Kumtambulisha Mbele Ya Rafiki Zako?
5. Kati Yangu Na Abdu Ni Yupi Aliekubikiri?
Majibu Ya Maswali Haya Yangenisaidia Sana Kwenye Maamuzi Yangu. Fanya Hvyo Wangu!
Ungekua WW ungeweza
Teh hiyo ni kama ana uwezo wa kufanya maamuzi magumu, itamuongezea evidences. Ingawa inaonekana mtoa mada hataki kuachana na baby. Ndo maana Nikasema anaweza hata kupotezea pia, tatizo sasa atakuwaje na uhakika kama yeye ndo njia kuu?
Mbona tatizo lako linatatuka?. Piga mimba huyo demu harafu kaa pembeni uangalie mchezo.
Kweli kabisa, hata mimi nadhan kutokana na maelezo ya huyu bwana inaonekana stil she love her for real, na pia naona bado kabisa ananafasi ya kusamehe na kusahau hilo na kuhakikisha lengo lake linatimia,
Naiona nafasi ya huyu jamaa kutatua hilo swala bila kuathiri uhusiano na huyo girlfriend wake, na kufanya huyo girlfriend ajutie kosa na kujirekebisha...
Mkuu juakal, narudia tena jipe muda na tumia hekima ya kibinadamu kudeal na hilo swala kama walivyokwisha kusema wengine, angalia mlipotoka na mnapoenda, then fanya maamuzi....
Kwahiyo nipige chini? Mimi nafikiria nifatilie zaidi, ila ndo sioni nitumie njia ipi
Mimba nayo sometimes ni Pata potea kama ye sio chaguo la huyo mwanamke, inaweza singiziwa kwa baba mwingine inaweza kuchomolewa pia yote yanawezekana.....afu mapenzi hayalazimishwi kama sio chaguo heri aende zake tu japo inauma