sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,039
- 48,152
Asante sana mkuu. Nitalishughulikia hili, inaumiza sana kwakweli hasa ukiwa umeweka malengo
Yes inaumiza mnoo, ila kwanza uwe mvumilivu na mtulivu katika uchunguzi huo maana ukikurupuka tuu, hauta ufahamu ukweli..