IPECACUANHA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 3,230
- 1,925
Ni vyema ukatambua kwamba kujitabanaisha na wenye nguvu na kujitenga na wanyonge ni dalili ya kwanza ya udhaifu na unafiki. Pia utambue vyama vya siasa vipo kisheria na ni sehemu ihalalishayo matumizi ya demokrasia katika utawala wa kisiasa nchini. Ujue kuwa mwanachama au mpenzi wa chama chochote cha kisiasa sio kosa na ni dalili ya kwanza ya watu waliopevuka kisiasa. Ni ujinga kufikiria kwamba upinzani wa kisiasa ni uadui. Ni ujinga zaidi kufifisha uwepo utaratibu wa kidemokrasia za kutoa mawazo tofauti na yale ya waliomadarakani. Mfumo wa kidemokrasia tunaoutumia upo baada ya mifumo ya kiimla kushindwa kuendelea kuwepo. Historia inaonyesha nchi na wananchi wake huondoa mifumo ya kiimla kama ya akina Kagame ni suala la muda tu.Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
.........."huo utakuwa udhaifu wa bunge"..........Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
Ccm inazidi kulemaza hili Taifa! Ona hiki kituko sasa, hajui hata anatetea nini!Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
Washamba wa sukumalandKwa uandishi huu,Hii ni type ya watu kama Henry Kisanduku, yule aliyemtolea Nape bastola Hanna kitu kichwani
Waliosema Siyoo[emoji62][emoji62][emoji120] wameshinda[emoji83][emoji89][emoji89]☻☻Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Hivi kumbe ni Musiba ??!!. Tunahangaika na nghweu .[emoji12][emoji23][emoji1787]Uzalendo bwana !!!
Ni kama ule usemi alinifundisha mwalimu wangu wa Darasa la saba
E. Msigala Teacher Big !!! popote ulipo mwl. wangu busara zako bado zinaniongoza hasa katika utawala huu wa kudhalimu
Alinifundisha usemi usemao siku zote ukweli na uongo hujitenga huku akitumia ule mfano maarufu wa mafuta na maji huku akufanya kwa vitendo
Musiba kaka yangu MAKUSUDICALLY kabisaaa umeamua kuuza utu wako kwa kushabikia dhambi zilizo dhahiri mbele ya macho yako
We kweli MAKUSUDICALLY wa kiwango cha shetani
Tunakuona lakini tunakusikia pia picha, maandishi na rekodi mbalimbali yakiwemo magazeti yako lolzinabaki ujue
Kisaikolojoa hasira huku umeshiba japo vya hovyo woga hutanda ila hasira huku unanjaa woga huondoka na ukatili unachukia nafasi
Kumbukeni kwa mwaka wa 2019/2020 kutakua na baa la njaa hivyo watu watakua na hasira huku wakiwa na njaa
Ukiona mwenzio ananyolewa na wewe tia zako maji
Da uzalendo unataka moyo zana
View attachment 1076189
CAG alikuwa hana haja ya kufanya tathimini yoyote kuhusu utendaji wa kazi wa Bunge la Tanzania, nafikiri kilichomfadhaisha CAG ni pale kazi zake zinazowakilishwa Bungeni kuwa hazifanyiwi kazi..!?Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?
Mtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Makusudically [emoji23][emoji23][emoji23][emoji62][emoji62][emoji62][emoji83][emoji83][emoji89]CAG sio ubabe bali msimamo. Na hiv ni vitu viwili tofauti.
Toka report yake itoke alieanzisha balaa ni speaker akataka kuonyesha ubabe. Kagonga mwamba.
Nani mjinga kati ya hao?
CAG ni mteule Wa Nani, aliyemteua nikutoka Chama gani, na Serikali ya chama gani? Fikiria kabla ya kubwbwaja
Nimeshinda njaa na mama yakoMpumbavu ni wewe iliyeshinda njaa leo,halafu unaleta hasira ya njaa humu kwenu siafu wewe[emoji220][emoji220][emoji220][emoji220][emoji220]
Mijitu kama wewe mwenye mtindio ndo kawaida yenu kuona comnent za wengine hazifaiMtu huyo Lazima atakuwa na tabia za Kichadema, Tabia za kutaka Taifa liharibikiwe tu, kutaka Serikali iliyoko madarakani iharibikiwe, kutaka CCM iharibikiwe, Mijitu hii ni Rahisi mno kuijua. Kwa kupitia comments mitandaoni
Kwani wabunge wanatetea maslahi ya nani wewee. Tatizo ni lile neno...ni lini CAG alifanya tathmini ya utendaji wa bunge na kutoa hiyo ripoti kwa vyombo husika..? Swali hili hakina jibu..sasa iweje leo anaitathmini bunge mdomoni tu ghafla bila research findings..wajameni hivi CAG si msomi yule au...sio...anatia aibu wasomi nchi hii..hiviiii yule..ni..........yaani najizuia kusema maneno mabaya kwasababu natumia busara..siropoki..vinginevyo ningekuwa sina busara ningeropoka maneno mabaya sana hapa..inaudhi sana..hivi niulize ameshawahi kuwasikia CAG waliopita wakina Utouh..wakitoa maneno kama hayo..? Au udhaifu umeanza awamu hii atuambie basi..na huko awamu nyingine hakukukuwa na udhaifu..sawa...?