Ukiona kinaelea kimeundwa

Umesomeka mkuu,usibadilishe sitakuogopa tena lol!nitakuwa nikitaka kutype nikaze macho kwenye keybod nisiiangalie kbs,naweza andika shikamoo au samahani badala ya kuchangua hoja!
Na ya kwako ni kama vile hujiaminiamini vile!
Hivi kwa avatar hii unaweza simama kwenye umati na kutoa mhadhara kweli weye?
Kuna mzungu mmoja wa aina yako hiyo alitamka kuwa.."You better kill me than instructing me to talk to the public"
 
Haaaa haaa haaa,naweza sn hata uwe mhadhara wa aina gani nafuguka tu!ili mradi tunapambana kwa hoja tu.
 
Mbona ya kwako ni kama vile mtu wa aibu sana, na unalazimisha khijabu ikuzibe uso wote at any point of time!
Ni kweli ni mwoga kiasi hicho?

Kweli kabisa niseme sio muoga ki hivo thou in certain circumstances na situations ni muoga.... Na at first glance utagundua kua level yangu ya aibu ni the required amount... (yaani sio aibu kwamba nitashindwa hata ongea...)
 
Kimey habari yako Mkuu... Hapa lolote laingia... Kwa mfano naomba nijue kama wewe
Yanga ama Simba (maana siamini kuna mwanaume hapendi sports)
Acha tu bi dada, mie Jmosi kilinuka kote kote, nje na ndani!
 
Unashangaa nini...
Ushapendwa na mtu, mjibu!
Au ndiyo nanihiino wetu nini...weka hazarani mambo bana!
Kiongozi huwezi jua labda Sauti ya Jangwa kaja kivingine..lol
BTW kapotelea wapi kamanda wangu?
 
Kiongozi huwezi jua labda Sauti ya Jangwa kaja kivingine..lol
BTW kapotelea wapi kamanda wangu?
He he heeee!
Sasa hivi anaongea na vinanihii vya Kihabeshi....watamtaka?
WatamPM na wala hajibu kitu!
Waambie hao mwenye kutaka sana mawasiliano nae aje A-Town nimpe namba za siri za Muzee ya Sauti ya Jangwani!
 
Chagua mwenyewe Faini yako? huwezi kunigandishandisha getini kiasi kile mpaka mabaunsa wakawa wananishangaa!
Huyo ndo zake...
Ukienda kwake usisahau Neti yenye Ngao(Hisani ya America) kwenye bajaji yako, maana utaganda getini hadi uitiwe mwizi!
 
He he heeee!
Sasa hivi anaongea na vinanihii vya Kihabeshi....watamtaka?
WatamPM na wala hajibu kitu!
Waambie hao mwenye kutaka sana mawasiliano nae aje A-Town nimpe namba za siri za Muzee ya Sauti ya Jangwani!
hehehehe kiongozi hapo kwenye RED haupo kimasla zaidi? lol
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom